Search results

  1. O

    Wakibosho nanyi mna mambo!

    Wewe kama ni mgeni wa majina ya Wakibosho, kuwa makini kidogo. Usishangae kukutana na jina African Masawe ukafikiri ukienda mabara mengine utawakuta akina American Masawe, European Masawe, Asian Masawe, Australian Masawe au British Masawe![emoji13]🤣[emoji3]🤣[emoji23][emoji13] Masawe ni Masawe...
  2. O

    He, Ku-save Kiasi cha Mshahara Inaweza kuwa Biashara Inayolipa?

    Wadau tulioajiriwa; Bila shaka wengi wetu tunapenda kuona tuna kazi mbalimbali za pembeni zinazojazia kibubu cha kila mwisho wa mwezi. Hivi kwenye Mshahara, ukiamua kuwa unasave Kiasi Fulani kulingana na kipato chako. Tuchukulie mfano, Inaweza kusave laki tano kila mwezi au mwingine anasave...
  3. O

    Wajuzi wa Lugha, Nisaidieni Kuhusu jina Middle

    Wadau, huwa ninapata shida kwenye matamshi ya jina linaloandikwa Middle. Mwenye jina hulitamka "Middle" lakini linavyoandikwa, kwa uwepo wa d mbili, naona kama linakuwa so jina katika lugha ya Kiswahili. Hivyo, kwa namna linavyoandikwa, pengine lingetamkwa Mido. Sijui wadau mnaonaje...
  4. O

    Usipokuwepo, Hakuna Kilichopo!

    Ndio, usipokuwepo, hakuna kilichopo. Hata Mungu hayupo ikiwa wewe haupo. Ndio maana wapo wanaohoji kwamba kati yako na Mungu, nani wakwanza kuwepo. Hoja hii inaweza kuwa na mashiko sana. Lazima uwepo ili Mungu awepo. Kwa hiyo, lazima wewe uwepo ili Mungu na kila kitu viwepo. Ili uwepo...
  5. O

    Msaada Kuhusu chuo kinachotoa Kozi ya Educational technology

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Ninaomba kufahamu kama hapa Tanzania kuna chuo kinachotoa kozi ya Educational Technology kwa ngazi ya shahada ya kwanza au Uzamili. Asante.
  6. O

    Airtel Kuna shida gani? Dakika 315 mitandao yote kuisha ndani ya wiki mbili

    Wadau,hebu nisaidieni kwa wale watumiaji wa Airtel. Nilinunua dk 315 za mwezi za kupiga mitandao yote. Ajabu sijakuwa na maongezi ya muda mrefu sana kwenye simu. Ila, dakika hizi zimeisha ndani ya wiki mbili tu. Kulingana na matumizi yangu, ninaona hapa kuna shida. Kwa wale watumiaji wa Airtel...
  7. O

    Wahadhiri na Mustakabali wa Elimu

    Wahadhiri wengi wa vyuo vikuu siyo waalimu kitaaluma. Wengi hupata fursa ya kufundisha vyuo vikuu kwa kuwa walipata GPA ya first class au kupitia uzoefu wa kazi kulingana na taaluma yake. Ifahamike kuwa, sio tu kufundisha kile mtu ajuacho au kukiamini, lakini pia hata namna ya...
  8. O

    Wizara ya Elimu imelala; fedha za walipa kodi vyuo vya ualimu zimekuwa mtaji wa wakuku wa vyuo!

    Ndugu wadau, mimi kama mdau wa elimu na ninayesomesha nimesikitishwa sana na malalamiko kutoka vyuo vya ualimu nchini. Malalamiko haya yanakuja kipindi ambacho waalimu katika vyuo hivi wakiwa katika zoezi la kufanya assessment kwa waalimu wanafunzi walio katika shule mbalimbali za msingi na...
  9. O

    Mbona nipo jamani!

    Ati wapo wabishao kuwa sipo kwenye mbloku! Aisee (I say) hebu wajuzeni bhana, wakateni ngebe zao!
  10. O

    Viongozi wetu na unafiki wa usuluhishi nje ya nchi.

    Baadhi ya viongozi wetu wakubwa wamekuwa wasuluhishi wa migogoro kadhaa nje ya Tanzania. Mingi ni ile itokanayo na migogoro baada ya uchaguzi. Raisi Kikwete alisha alikwa Kenya kusuluhisha mgogoro mkubwa uliotokana na uchaguzi mkuu. Hali kadhalika, raisi mstaafu, Benjamini Mkapa, naye...
Back
Top Bottom