Search results

  1. mpinga shetani

    Tetesi: Ngorongoro kuwa kitalu cha uwindaji

    Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji. Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta. Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.
  2. mpinga shetani

    TBC ACHENI UTAPELI

    safi
  3. mpinga shetani

    Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    Hakuna serikali inayoweza kupambana na mungu. Au kazi yake. Itasambaratika kama biskuti kwenye chai
  4. mpinga shetani

    Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Polisi bwana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mpinga shetani

    CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

    Osha uso. Tanzania kuna chama kimoja tu cha siasa. Na kikundi kimoja cha kihuni kinachoongozwa na mmiliki wa night club
  6. mpinga shetani

    CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

    Kwa akili yako nyepesi. Hivi kuna mbadala wa CCM? Kuna yeyote timamu anaweza kuamini SACCOS ya Mbowe na Mkwewe Mtei iliyosheheni wahuni wa kichaga na wapiga dili?
  7. mpinga shetani

    CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

    Mnaijua vizuri. Ndio maana unaitaja.
  8. mpinga shetani

    Yaliyojiri kutoka kwenye mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema

    Na kweli wamelala Chadema. Maana karibu viti vyote vya ubunge, Udiwani na serikali za mitaa viko CCM. Waamsheni watu wenu wapige kura.
  9. mpinga shetani

    Zitto Kabwe Asema Rais Magufuli Ameliingizia Taifa hasara ya Bilion 36 Tangu Awe Rais

    Hamjui siri ya Zitto. Mfadhili mkuu wa Zitto alikuwa ni Ramadhani Dau wa NSSF. MAGUFULI kamtumbua Dau, sasa maumivu yako kwa Zitto..... Na bado
  10. mpinga shetani

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Kati ya punguani vincent na msomi Mkapa tumuamini nani?
  11. mpinga shetani

    Sakata la Katibu Mkuu: CHADEMA vipande vipande

    Huyo jamaa hajui kuwa Nyumbu ni special kwa wafuasi wa Chadema na Ukawa
  12. mpinga shetani

    Natafuta set up ya MicroSoft Office 2007 haraka

    Nicheki kwa email sanjos@outlook.net nikusaidie
  13. mpinga shetani

    Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

    Lema mtetezi wa wanyonge?? Kweli nyumbu ni wajinga
  14. mpinga shetani

    Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

    Kubenea. Certificate in lunatism Diploma in hearsay and lies Mbowe bootlicker Official Nyumbu
  15. mpinga shetani

    Hatimaye Vikosi vya JWTZ vyaanza kuondoka Zanzibar

    JWTZ wameondoka Zanzibar? Kwa hiyo kisiwa hakina ulinzi siyo? Pongezi
Back
Top Bottom