Yaliyojiri kutoka kwenye mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema

Tatizo la lema shule ni bashite alafu anataka kuiga staili ya tundu lissu!
Mwenzie lissu anaropoka kijanja akitumia mianya ya kisheria akipelekwa mahakamani anapata pa kutokea.
ushauri kwa lema, afanye siasa za maendeleo kwa wana arusha vingnevyo 2020 hatarudi mjengoni.
Hujasikia tamko la majaji kuhusu dhamana ya Lema? Hapo hata Lisu angeshikiliwa tu pamoja na kujuwa mianya ya kisheria.Lema hakutendewa haki.
 
Hiyo phrase ya mtoto mchape mwanao ina connotation ya kupigana (vita), kosa la kiufundi. Hapo CDM mmebugi kama vile mlivyo bugi kubeba mzigo EL.
 
Kumbe mikutano inaruhusiwa!??,

sasa Wauza ngada chadema kwa nini wanalia lia kila siku democracia imeminywa??
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema.
tmp_7417-FB_IMG_1489160302244-2030232186.jpg
tmp_7417-FB_IMG_1489160298220439605647.jpg
tmp_7417-FB_IMG_1489160298220439605647.jpg
 
Haya ni mapinduzi ya kuondoa vibaraka wa waingereza...umeona wapi nchi ya kiafrika kupewa Uhuru kwa mikataba ya makaratasi ....Ukawa waambieni Ukweli watanzania....mgodi wa almasi wa mwadui unamlisha malkia wa uingereza..umaskini wetu ni wa makusudi kwa maana mwenye njaa ni MTU muoga....nchi hii kwa maliasili tulizonazo tungekuwa kwenye nchi za uchumi wa kati....mfano mwaka 1975 wavietnam walichukua mbegu za korosho kwetu ila sasa ndio wazalishaji wakwanza wa korosho duniani...chanzo cha umaskini wetu ni CCM maana ni vibaraka wa wazungu....[HASHTAG]#mama[/HASHTAG] mkanye mwanao
 
Ahhaaaaaa! Acheni hizo jamaa, kwani mpo serikalini jamani!? Dah ama kweli hizi kamba tena balaa!
 
Back
Top Bottom