CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

Hebu ru

Bila vyombo vya dola hiki kitu hakipo mitaani, na watu wanajuta kulazimishwa kutawaliwa e.g. Zanzibar utasema mnawatawala wale watu kwa mapenzi yao kweli ?! Huku bara ndiyo mmeshawazuia wapinzani wenu kufanya siasa za kistaarabu yote hiyo hofu ya kupora madaraka yao kupitia mfumo mbaya wa uchaguzi
Osha uso. Tanzania kuna chama kimoja tu cha siasa. Na kikundi kimoja cha kihuni kinachoongozwa na mmiliki wa night club
Na katika nyakat upinzani unakwenda kufa bass ni uchaguzi wa 2020
 
hayo mabadiliko ndiyo wananchi wanayataka? Maana naona mnajikita kwenye kujenga chama na kusahau wajibu wenu wa kuwa ondolea wananchi umaskini!

Hivi watanzania wanahitaji nafasi za makada kupunguzwa hau wanahitaji maisha Bora?

Hivi mtanzania anae kosa kwa sasa hata Mlo 1 hayo mabadiliko yanamsaidia nini?

Gharama za maisha zimepanda, watu wanafunga biashara zao, watu wanalalama hakuna pesa alafu wewe unakuja kusema ccm kama imaya ya waingreza?

Mimi nadhani chama kimesahau Mziki wa mwaka 2015 kilivyo henyeshwa kwenye uchaguzi.

Sasa kimechanganyikiwa badala ya kudili na Wananchi kuhakikisha kinawaletea unafuu wa maisha kinajikita kutafuta Mchawi ndani ya chama.

Kina sahau kwamba wananchi wanataka kuona mabadiliko ya maisha kutoka katika lindi la umaskini?

Nawa hakikishia msipo zinduka mwaka 2020 mtalia kilio cha kusaga meno maana wananchi hawata waelewa tena ndugu zanguni.

Wananchi wanataka kuona gharama za maisha zinapungua. Leo mfumuko wa beitu za vyakula ni balaa Alafu mtu unakuja kujisifia mabadiliko ya chama?
 
Nimegundua wewe ndio huna ufahamu wa kutosha ktk jambo hili. UK ni muunganisho wa watu wa England, Scotland, Wales na Northern Ireland. Hakuna tena British Empire. Nchi zote zilizokuwa chini ya British rule zilikubaliana kuwa na umoja (kutokana na mifumo ya uongozi) na ndipo Commonwealth ilipokuja.
Unatawaliwa Wewe hujielew tu wslifanya hvyo Ili kuziba usijuwe kuwa Unatawaliwa, uliwah kumpa Msaada UK? Ila we unapewa kila siku..
 
Kitakacho nishangaza ni pale itakapofika 2020 halafu vyama vya upinzani vikaingia kwenye uchaguzi kukiwa na tume ileile ya uchaguzi na katiba ileile.
Halafu baada ya uchaguzi wakaja na porojo za kuibiwa kura, kwakweli hizi zitakua dalili za ukichaa kufanya jambo lilelile kwa njia zilezile matokeo yakawa vilevile na ukaja na Malalamiko yaleyale wewe lazima utakua kichaa au unaajenda nyingine ambayo watu hawajaijua.
 
Kwa akili yako nyepesi. Hivi kuna mbadala wa CCM? Kuna yeyote timamu anaweza kuamini SACCOS ya Mbowe na Mkwewe Mtei iliyosheheni wahuni wa kichaga na wapiga dili?
Wewe kama huiamini WaTz zaidi ya nusu waliisuport mpaka mkalazimika kupika matokeo !!
 
CCM is too powerful hapa Tanzania na hakuna Chama cha kuiondoa CCM kwa kura wala kwa hila hivyo naamini kabisa kwa kulijua hilo CCM wameamua kuitengeneza chadema ili ilete sura ya kwamba kuna Chama cha upinzani Tanzania na kwamba siyo Chama kimoja tu!

Hata naamini kabisa kuna baadhi ya Majimbo CCM inayaachia kwa makusudi ili kutengeneza aina fulani ya usawa kwenye Siasa kwa mfano Jimbo la Arumeru Mashariki ninaamini kabisa CCM waliamua liende Upinzani na mifano mingine mingi ipo!
Haya wameachiwa waongoze Jiji la Dar wanafurahia, lkn nani ni Big Boss Dar? Ni Makonda pmj na Wakuu wa Wilaya ambao ni CCM, Makonda ndiyo anafungua barabara mpya, Makonda ndiyo anapokea wageni ktk nje ya nchi Makonda ndiyo anaamua si ajabu hata ruti tu za Dala dala, huo Umeya unawasaidia nini chadema? Lkn Kisiasa ni muhimu kwa CCM kwamba Upinzani wanaongoza Jiji lkn ni kinadharia tu, ukweli ni kwamba Jiji linaongozwa na CCM!

Mrema na NCCR alifikia peak upinzani leo hii ni Muajiriwa wa Serikali ya CCM na analipwa na Serikali!
Mbatia, aliteuliwa kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa CCM hivyo ina maana Mbatia kafikia hapo alipo kwa namna moja au nyingine kwa msaada wa CCM na siamini kwamba Raisi Kikwete aliamka tu asubuhi na kukurupuka kumpa Mbatia Ubunge baadaye Mbatia akawa vocal sana ukawa anatoa lugha za vitisho kwa Serikali kupitia ukawa na Mama Tanzania yake leo hii Mbatia kimya hata ukawa haipo kwani uchaguzi wa S. Mitaa NCCR walisimamisha wagombea sambamba na chadema na CUF, Kwa nini? Nini kimetokea ukawa? Ile trajectory waliokuwa wanaifwata imeishia wapi? Iweje wakubaliane kwenye Uraisi waje kushindwa kwenye Serikali za Mitaa? Na kwa nini wanashindwa kukisajili ukawa kama Chama cha Siasa kama waliweza kusacrifice kwenye Uraisi? Kipi kimebadilika? Kwa maana watu ni wale wale, iweje wapotezee ukawa?
Marando yuko wapi? Huyu alikuwa akiongea Jangwani anaunguruma kama Simba leo hii hata sijui aliko!
Hata Uchaguzi uliopita haya yalioitwa Mafuriko yaliruhusiwa na Serikali kwa makusudi kabisa ili ionekane kwamba CCM power imepungua lkn ukweli ni kwamba kama CCM inaamua kutumia Rasilimali zake zote ingeshinda kwa zaidi ya 80%!

Mtu kama Lowasa na Genge lake, kama Serikali ingeamua wala asingesimama kugombea chadema na hii ni kihalali kabisa na hakuna kitu angefanya, wasingekosa sababu ya kumzuia ukifungua faili la Lowasa tu ukurasa wa kwanza unatosha kumpeleka Mahakamani na kumuweka busy na kesi kwa miaka hata 3 na hata kumfunga kama kweli angekuwa tishio la uhai wa CCM!
Na ndio maana hata watu kama hawa akina Sepetu Wema ni swala la muda tu kabla hawajaidump chadema tena na matusi juu!

Haya ni maoni yangu, hawa wote akina sijui Zito & Co. ni usanii tu lkn hawawezi kushinda uchaguzi Tanzania na Mgombea wa CCM ni automatic Raisi wa Tanzania na itabakia hivyo!
 
Nimependa unavyotumia "CCM" na "Serikali" interchangeably. Maana yake ni moja tu; unaamini kuwa madude hayo mawili ni kitu kimoja.
 
Polisi ya kwenu, tume n.k ningekuona unaakili kama ungekuja kutuamba hapa kama chaguzi zote zingekua kwenye mazingira yanayo suit vyama vingi, upinzani una nguvu sana mazingira ni magumu lakini waijambisha CCM, ulishawahi kujiuliza Polisi na Tume zikiwa neutral au kuvibeba vyama pinzani CCM itakua kwenye hali gani mkuu?
 
Polisi ya kwenu, tume n.k ningekuona unaakili kama ungekuja kutamba hapa kama chaguzi zote zingekua kwenye mazingira yanayo suit vyama vingi, upinzani una nguvu sana mazingira ni magumu lakini waijambisha CCM, ulishawahi kujiuliza Polisi na Tume zikiwa neutral au kuvibeba vyama pinzani CCM itakua kwenye hali gani mkuu?
 
CCM is too powerful hapa Tanzania na hakuna Chama cha kuiondoa CCM kwa kura wala kwa hila hivyo naamini kabisa kwa kulijua hilo CCM wameamua kuitengeneza chadema ili ilete sura ya kwamba kuna Chama cha upinzani Tanzania na kwamba siyo Chama kimoja tu!

Hata naamini kabisa kuna baadhi ya Majimbo CCM inayaachia kwa makusudi ili kutengeneza aina fulani ya usawa kwenye Siasa kwa mfano Jimbo la Arumeru Mashariki ninaamini kabisa CCM waliamua liende Upinzani na mifano mingine mingi ipo!

Mrems na NCCR alifikia peak upinzani leo hii ni Muajiriwa wa Serikali ya CCM na analipwa na Serikali, Mbatia aliteuliwa kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa CCM hivyo ina maana Mbatia kafikia hapo alipo kwa juhudi za CCM na siamini kwamba Raisi Kikwete aliamka tu asubuhi na kukurupuka kumpa Mbatia Ubunge baadaye Mbatia akawa vocal sana ukawa anatoa lugha za vitisho kwa Serikali kupitia ukawa na Mama Tanzania yake leo hii Mbatia kimya hata ukawa haipo kwani uchaguzi wa S. Mitaa NCCR walisimamisha wagombea sambamba na chadema na CUF, Kwa nini? Nini kimetokea ukawa? Ile trajectory waliokuwa wanaifwata imeishia wapi? Iweje wakubaliane kwenye Uraisi waje kushindwa kwenye Serikali za Mitaa?
Marando yuko wapi? Huyu alikuwa akiongea Jangwani anaunguruma kama Simba leo hii hata sijui aliko!
Hata Uchaguzi uliopita haya yalioitwa Mafuriko yaliruhusiwa na Serikali kwa makusudi kabisa ili ionekane kwamba CCM power imepungua lkn ukweli ni kwamba kama CCM inaamua kutumia Rasilimali zake zote ingeshinda kwa zaidi ya 80%!
Mtu kama Lowasa na Genge lake, kama Serikali ingeamua wala asingesimama kugombea chadema na hii ni kihalali kabisa na hakuna kitu angefanya, wasingekosa sababu ya kumzuia na hata kumfunga kama kweli angekuwa tishio la uhai wa CCM!

Haya ni maoni yangu, hawa wote akina sijui Zito & Co. ni usanii tu lkn hawawezi kushinda uchaguzi Tanzania na Mgombea wa CCM ni automatic Raisi wa Tanzania na itabakia hivyo!
Hiki ni kiburi cha uhai tu.
 
maneno ya mtoa mada yana maana sana lakini simple mind haiwezi kuona haya,inaweza kuwa sio moja kwa moja lakini influence kubwa ya upinzani inatokana na chama tawala,na hii sio hapa tz tu hii ni kwa nchi nyingi za africa hasa nchi zenye madini ya aina yeyote . wananchi wa nchi hizi mara nyingi wanawekewa vyama vya tangu ukoloni na viongozi wa kuwadhibiti kuwatesa na kuwatisha wananchi tu na kutengeneza upinzani wa bandia
 
ndio maana mnapenda kuangalia Ushilawadu haalfu eti mnataka kuongoza nchi miaka kumi
 
CCM is too powerful hapa Tanzania na hakuna Chama cha kuiondoa CCM kwa kura wala kwa hila hivyo naamini kabisa kwa kulijua hilo CCM wameamua kuitengeneza chadema ili ilete sura ya kwamba kuna Chama cha upinzani Tanzania na kwamba siyo Chama kimoja tu!

Hata naamini kabisa kuna baadhi ya Majimbo CCM inayaachia kwa makusudi ili kutengeneza aina fulani ya usawa kwenye Siasa kwa mfano Jimbo la Arumeru Mashariki ninaamini kabisa CCM waliamua liende Upinzani na mifano mingine mingi ipo!
Haya wameachiwa waongoze Jiji la Dar wanafurahia, lkn nani ni Big Boss Dar? Ni Makonda pmj na Wakuu wa Wilaya ambao ni CCM, Makonda ndiyo anafungua barabara mpya, Makonda ndiyo anapokea wageni ktk nje ya nchi Makonda ndiyo anaamua si ajabu hata ruti tu za Dala dala, huo Umeya unawasaidia nini chadema? Lkn Kisiasa ni muhimu kwa CCM kwamba Upinzani wanaongoza Jiji lkn ni kinadharia tu, ukweli ni kwamba Jiji linaongozwa na CCM!

Mrema na NCCR alifikia peak upinzani leo hii ni Muajiriwa wa Serikali ya CCM na analipwa na Serikali, Mbatia aliteuliwa kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa CCM hivyo ina maana Mbatia kafikia hapo alipo kwa juhudi za CCM na siamini kwamba Raisi Kikwete aliamka tu asubuhi na kukurupuka kumpa Mbatia Ubunge baadaye Mbatia akawa vocal sana ukawa anatoa lugha za vitisho kwa Serikali kupitia ukawa na Mama Tanzania yake leo hii Mbatia kimya hata ukawa haipo kwani uchaguzi wa S. Mitaa NCCR walisimamisha wagombea sambamba na chadema na CUF, Kwa nini? Nini kimetokea ukawa? Ile trajectory waliokuwa wanaifwata imeishia wapi? Iweje wakubaliane kwenye Uraisi waje kushindwa kwenye Serikali za Mitaa?
Marando yuko wapi? Huyu alikuwa akiongea Jangwani anaunguruma kama Simba leo hii hata sijui aliko!
Hata Uchaguzi uliopita haya yalioitwa Mafuriko yaliruhusiwa na Serikali kwa makusudi kabisa ili ionekane kwamba CCM power imepungua lkn ukweli ni kwamba kama CCM inaamua kutumia Rasilimali zake zote ingeshinda kwa zaidi ya 80%!

Mtu kama Lowasa na Genge lake, kama Serikali ingeamua wala asingesimama kugombea chadema na hii ni kihalali kabisa na hakuna kitu angefanya, wasingekosa sababu ya kumzuia ukifungua faili la Lowasa tu ukurasa wa kwanza unatosha kumpeleka Mahakamani na kumuweka busy na kesi kwa miaka hata 3 na hata kumfunga kama kweli angekuwa tishio la uhai wa CCM!

Haya ni maoni yangu, hawa wote akina sijui Zito & Co. ni usanii tu lkn hawawezi kushinda uchaguzi Tanzania na Mgombea wa CCM ni automatic Raisi wa Tanzania na itabakia hivyo!

Mwenyekiti wako mwenyewe hana tofauti na hao akina Lowassa unaowachokoza.Amekwambia liyenyuma ya kile Kivuko kibovu??Kama bilioni nane zilinunua Kivuko kibovu kizima kitagharimu kiasi gani??

Hivi siyo Mwenyekiti wako aliysakamwa na Nyumba za Serikali kuhonga mahawara??Au siyo huyu aliyesimamia mabarabara chini ya kiwango??

Je,si ndiyo yeye wanaomshutuma kwa kutemba na naniii wake???Pole jua moja hakuna msafi CCM wote ni wachafu
 
Kama mtu mwenyeww muda wa kazi ana angalia shilawadu!
tutegemee kuona mengi hii miaka kumi
 
Back
Top Bottom