Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Siku ukiwa na wajukuu ndo CCM itaweza kutolewa madarakaniChumba cha mahututi gereza la fikra finyu
Siku ukiwa na wajukuu ndo CCM itaweza kutolewa madarakaniChumba cha mahututi gereza la fikra finyu
Siku ukiwa na wajukuu ndo CCM itaweza kutolewa madarakani
Wema akisoma hapa lazima aliye.Kweli kabisa, hadi hapo vyama vya upinzani vikiacha utani, upuuzi hasa wa kukumbatia wajinga kama kina wema n.k., kuwa kama kampuni na ukabila, mpaka hapo watakavyoungana na kuweka watu wenye upewo kama Dr. Slaa, ila kama wakiendelea na uongozi wa MKWE! WASAHAU MILELE...
Ili kuthibitisha hilo wekeni tume huruNdiyo hivyo CCM inaongoza Tanzania na itaendelea kuongoza Tanzania kwa miaka 50 mingine ijayo hilo halina ubishi, na sababu ni kama vile British Monarchy mpaka leo hii bado inatawala Makoloni yake kwa kupitia British Commonwealth chini ya Malkia Elizabeti, Ufalme ule ule uliokuwa unatawala moja kwa moja sasa umejibadilisha ukatoa Uhuru wa Bendera na kuja kivingine!
Sasa ufanano na CCM unaingiaje? CCM tofauti na vyama vingine Afrika inabadilika kulingana na wakati, yaani pale ambapo watu wanafikiri wameichoka inakuja kivingine, inafanya reforms kusahihisha makosa na kujizaa upya, na hiki ndicho kinachoiweka CCM hai, siyo kingine!
Vile vile CCM tofauti na Vyama vingine ina demokrasia kubwa sana ingawaje ina mapungufu lkn bado ni kubwa, hakuna kuhodhi madaraka, kila kitu kipo wazi kwamba uchaguzi unafanyika lini na wapi, Mwenyekiti anapatikanaje na anaweza kuondolewa vipi kama ikibidi, kuna ukomo wa Uongozi hayo ndiyo moja ya mambo ambayo yanaifanya CCM isimame!
CCM ilianzia na ,,kujivua Gamba" baadhi walifikiri ni usanii lkn kuna kikubwa sana kilichokuwa kimejificha nyuma yake nacho ni reforms ambazo sasa zinnatekelezwa, walianza kupiga chini Mafisadi, Ufisadi ambao ndiyo ilikuwa moja kati ya kero KUU ya Watanzania leo hii ukimuuliza Mtanzania yoyote yule Je Ufisadi umepungua, umebakia vile vile au umeongezeka? Jibu liko wazi!
Sasa wameingia kwenye kureform Chama.
CCM ready for reforms!
Ndiyo hivyo CCM inaongoza Tanzania na itaendelea kuongoza Tanzania kwa miaka 50 mingine ijayo hilo halina ubishi, na sababu ni kama vile British Monarchy mpaka leo hii bado inatawala Makoloni yake kwa kupitia British Commonwealth chini ya Malkia Elizabeti, Ufalme ule ule uliokuwa unatawala moja kwa moja sasa umejibadilisha ukatoa Uhuru wa Bendera na kuja kivingine!
Sasa ufanano na CCM unaingiaje? CCM tofauti na vyama vingine Afrika inabadilika kulingana na wakati, yaani pale ambapo watu wanafikiri wameichoka inakuja kivingine, inafanya reforms kusahihisha makosa na kujizaa upya, na hiki ndicho kinachoiweka CCM hai, siyo kingine!
Vile vile CCM tofauti na Vyama vingine ina demokrasia kubwa sana ingawaje ina mapungufu lkn bado ni kubwa, hakuna kuhodhi madaraka, kila kitu kipo wazi kwamba uchaguzi unafanyika lini na wapi, Mwenyekiti anapatikanaje na anaweza kuondolewa vipi kama ikibidi, kuna ukomo wa Uongozi hayo ndiyo moja ya mambo ambayo yanaifanya CCM isimame!
CCM ilianzia na ,,kujivua Gamba" baadhi walifikiri ni usanii lkn kuna kikubwa sana kilichokuwa kimejificha nyuma yake nacho ni reforms ambazo sasa zinnatekelezwa, walianza kupiga chini Mafisadi, Ufisadi ambao ndiyo ilikuwa moja kati ya kero KUU ya Watanzania leo hii ukimuuliza Mtanzania yoyote yule Je Ufisadi umepungua, umebakia vile vile au umeongezeka? Jibu liko wazi!
Sasa wameingia kwenye kureform Chama.
CCM ready for reforms!
Ni jeshi gani mkuu wake anateuliwa na upinzani?Kwa nini Vyama vingine navyo basi visitumie hiyo Polisi na Jeshi kama ni rahisi kihivyo?
Ukijibiwa please nisaidie nami kujuaHivi uchaguzi wa mwenyekiti na viongozi wa juu ndani ya CDM unafanyika kila baada ya miaka mingapi?
And it will cost them much money!Na katika nyakat upinzani unakwenda kufa bass ni uchaguzi wa 2020
Nimegundua wewe ndio huna ufahamu wa kutosha ktk jambo hili. UK ni muunganisho wa watu wa England, Scotland, Wales na Northern Ireland. Hakuna tena British Empire. Nchi zote zilizokuwa chini ya British rule zilikubaliana kuwa na umoja (kutokana na mifumo ya uongozi) na ndipo Commonwealth ilipokuja.Elezea basi unaposikia nchi imewekewa vikwazo na UK wanamanishaga Nin ?
Waweza kuwa sahihi lakini angalia hili - hakuna nafasi ya watu kufanya siasa. Siasa zinazuiliwa mpaka 2020. Unakumbuka kuna kipindi hata mikutano ya ndani ilizuiliwa? Ya nje inaruhusiwa ktk maeneo mtu alishinda tu?? Unajua kuwa kuipinga serikali ni sedition? Mtu akitaka kuipinga aende Bungeni. Je Maalim Seif, Prof. Lipumba, Mrema, Anna Mghwira na wengine wanaendaje Bungenu? Siasa imara hupewa nafasi ishamiri. Sishangai nchi kuwa hapa kama kuna watu wa aina yako wasioamini katika siasa kupewa nafasi ishamiri.Hata kama ccm iwe imechoka bado hatujaona mpinzani alie imara wakumpa nchi, wakitokea wapinzani imara mtachukua maana upinzan wa sasa ni udaku tu wala jawana mikakati mathubuti ni kuongea tu, wanaitisha maandamano na wao viongozi wanapotea sk ya maandamano, sasa nani mjinga akapigwe ww unakula bata south Africa???????
Mtaendelea kuwa wapinzani daima na daima hadi ukilifu wa dahari
Unadhani hilo limetokea bahati mbaya?? Ungekuwa na uwezo hata robo wa kuwa mkweli kwa nafsi yako ungekumbuka kwanini sio upinzani tu, hata nchi haina dira!! Tumefika hapa kwa sababu ya kuwa na watu wengi wa aina yako. Wale wanaoangalia mambo at face value. Jikite katika kujua kina, sio kuangalia jambo kwa juu.upinzani umepoteza dira
Kwani zile 50,M.za kila kijiji ziko wapi?Ndiyo hivyo CCM inaongoza Tanzania na itaendelea kuongoza Tanzania kwa miaka 50 mingine ijayo hilo halina ubishi, na sababu ni kama vile British Monarchy mpaka leo hii bado inatawala Makoloni yake kwa kupitia British Commonwealth chini ya Malkia Elizabeti, Ufalme ule ule uliokuwa unatawala moja kwa moja sasa umejibadilisha ukatoa Uhuru wa Bendera na kuja kivingine!
Sasa ufanano na CCM unaingiaje? CCM tofauti na vyama vingine Afrika inabadilika kulingana na wakati, yaani pale ambapo watu wanafikiri wameichoka inakuja kivingine, inafanya reforms kusahihisha makosa na kujizaa upya, na hiki ndicho kinachoiweka CCM hai, siyo kingine!
Vile vile CCM tofauti na Vyama vingine ina demokrasia kubwa sana ingawaje ina mapungufu lkn bado ni kubwa, hakuna kuhodhi madaraka, kila kitu kipo wazi kwamba uchaguzi unafanyika lini na wapi, Mwenyekiti anapatikanaje na anaweza kuondolewa vipi kama ikibidi, kuna ukomo wa Uongozi hayo ndiyo moja ya mambo ambayo yanaifanya CCM isimame!
CCM ilianzia na ,,kujivua Gamba" baadhi walifikiri ni usanii lkn kuna kikubwa sana kilichokuwa kimejificha nyuma yake nacho ni reforms ambazo sasa zinnatekelezwa, walianza kupiga chini Mafisadi, Ufisadi ambao ndiyo ilikuwa moja kati ya kero KUU ya Watanzania leo hii ukimuuliza Mtanzania yoyote yule Je Ufisadi umepungua, umebakia vile vile au umeongezeka? Jibu liko wazi!
Sasa wameingia kwenye kureform Chama.
CCM ready for reforms!
Mnaijua vizuri. Ndio maana unaitaja.Kama HAPA Arusha hatuijui ccm
Kwa akili yako nyepesi. Hivi kuna mbadala wa CCM? Kuna yeyote timamu anaweza kuamini SACCOS ya Mbowe na Mkwewe Mtei iliyosheheni wahuni wa kichaga na wapiga dili?Bila dola CCM kwa wananchi haipo, hivyo hukupaswa kuja kujivuna hapa kwa kitu kinachotegemea mbeleko ya serikali na vyombo vya dola.