Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Habari inauliza uhalisia wa testimony ya Msekwa kwenye kitabu chake kama aliwahi kupata muda wa kuongea na mwalimu kabla ya kufa maana tarehe hizo anazodai wengine wanasema isingewezekana kwa sababu mwalimu alikuwa tayari kwenye comma; mtu anaanzisha thread anaweka headline utata wa kifo cha mwalimu (tofauti kabisa na habari yenyewe).

Haya ndio majanga yenyewe ya taifa kwenye uelewa
 
Hapa ni mbona rahisi?
Magufuli amtake Mkapa ajisafishe dhidi ya kashfa ya kumuua Nyerere iliyotolewa hadharani na Vincent Nyerere.
Akishindwa sisi tunaendelea kumwamini Vincent kuwa Mkapa alihusika

Magufuli huo ujasiri wa Kumgusa Mkapa atautoa wapi ??? Vitu vingine tuongee tu ili midomo isinuke ila utekelezaji wa hilo ni almost impossible
 
Yaliyo mkuta nyerere yanafanana na Lowassa ingawa lowassa aliwahi mapema kuiokoa afya yake, kwani sababu kubwa inajulikana wazi Nyerere angeunga mkono Upinzani Mwaka 2000 baada ya kuona chama chake kiko tofauti na anacho simamia.

Lowassa naye ndivyo hivyo, iligundulika anafadhili upinzani ili akikatwa ahamie upinzani, ndiyo chanzo cha afya yake kuwa vile.

Chezeaa Tiss wewe
Toa upuuzi wa ki Nyumbu
 
Kati ya punguani vincent na msomi Mkapa tumuamini nani?

Hiyo iko juu yako kuchagua ,mimi nina Trust issues na sina sababu ya kumwamini yeyote yule,kwa hiyo wewe Mkapa kwa sababu ni Msomi ndio wa kumwamini ?? Lakini Vincent kwa sababu ni Punguani kama ulivyosemwa hafai kuaminiwa ?? SMH
 
Baada ya kufa Nyerere siku inayofuata Mawaziri Kumi pamoja na Rais wao Mbeki walikuja Tanzania..yule mwandishi wa Daily Times sio mnafiki alihoji uhalali wa kundi kubwa kuivamia Tanzania..Still lile gazeti ninalo..nadhani kuna kitu hapo sio bure..wewe unaejifanya unataka ushahidi wa kuanzia anza na hao waliokuja kupanga uwizi wa Rasilimali zetu anza na Mbeki na jopo lake..
 
Kati ya punguani vincent na msomi Mkapa tumuamini nani?

Kigezo gani umekitumia kumwita Vicent Nyerere Punguani ? Hata Kama Mkapa ni msomi haiwafanyi Watanzania wamwamini Mbona marehemu balali alikuwa msomi akina Kapuya , mbilinyi, Tibaijuka , chenge werema nk wamelisaudia nini Taifa ?
 
Baada ya kufa Nyerere siku inayofuata Mawaziri Kumi pamoja na Rais wao Mbeki walikuja Tanzania..yule mwandishi wa Daily Times sio mnafiki alihoji uhalali wa kundi kubwa kuivamia Tanzania..Still lile gazeti ninalo..nadhani kuna kitu hapo sio bure..wewe unaejifanya unataka ushahidi wa kuanzia anza na hao waliokuja kupanga uwizi wa Rasilimali zetu anza na Mbeki na jopo lake..
Baada ya Nyerere kuwaondolea Usiku walikuja kupora Rasilimali za Tanzania maana aliyekuwa na uwezo wa kuthubutu kukemea alikuwa keshakufa kifo cha maksudi.
 
the banker ongea vizuri na hizi ID 'zisizofahamika' zilizo changia mada hii zitakuambia kitu
 
Last edited by a moderator:
HUU MJADALA UTAPELEKWA HADI BUNGENI KWA SIASA NA TZ yangu machoz
 
Back
Top Bottom