Chukulia Lowassa angekua Rais haya yangetokea au ingekua zaidi ya haya?

1.Kuzuia mikutano ya kisiasa?
2.Kutowapa wanafunzi wote mikopo?
3.Watu kushikiliwa mahabushi/polisi kwa muda mrefu kwa makosa yanayodhaminika?

4.Kuwakamata wamiliki wa mitandao ya kijamii na kufungia baadhi ya vyombo vya habari.

5.Watumishi wa umma kufanya kazi bila hata nyongeza ya mishahara wala kupandishwa madaraja

6.Miili saba kuokotwa kando ya mito na kuanza uchunguzi baada ya watu kupiga kelele

7.Kuzuia bunge kuoneshwa live

8.Kutumia kumbi za Ikulu kwa mikutano ya chama.

9.Kumteua kanali wa jeshi kukalia nafasi muhimu ya chama tawala.



Je, tuchukulie sasa Lowassa ndio angekua Rais hali ingekua vipi? Na CCM ndio wangekua benchi kibaki kua watazamaji hali ingekuaje?

Bado tu CCM inapendwa???
Hayo yote labda yangetokea au hapana lakini kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kwamba chini ya uongozi wa EL nchi isingekuwa katika hali ya hofu kuu; "happiness index"; kipimo cha furaha ya watanzania ingepanda, watu wangejenga hali ya matumaini na kesho iliyo bora kulikoni ilivyo sasa na vipaumbele vya taifa vingekuwa ni maendeleo ya watu ZAIDI badala ya vitu; hilo nina uhakika nalo 100%
 
Kwa Lowasa demokrasia ingeshamiri

Huoni tu hata aina yake ya siasa...Ni mtu wa dialogue...hana makuu ya kujibizana vibaya na watu

He is humble and down to earth

He is wise.

Anajua misingi ya uongozi na suala la kuwajibika kwa makosa ya walio chini yako...He is a perfect leader of our times
are you the one?
 
Haya mambo ukiwa hujapata nafasi ni rahisi kuyanyooshea kidole...hebu niulize kidogo,
1.hivi mmoja wa wapanga mikakati ya urais wa lowasa si alikuwa aliyewahi kuwa boss wa usalama wa taifa ndugu apson mwang'onda??
2. Ni lowasa huyu huyu na timu yake walimmwagia kubenea tindikali na kumdhuru Mzee ndimara tegambwage
3. Kipindi ilipoanza mikopo ya vyuo lowasa alikuwa pm, mi nakumbuka mwaka 2005 ilibidi tukaweke kambi ofisini kwake kivukoni ndio tukapata pesa.
4. Lakini ni chadema hao hao wamemchagua Katibu mkuu kwa qualification ya kuongoza mgomo wa madaktari halo iliyosababisha watanzania kupoteza maisha
5. Ni huyu huyu lowasa aliwahi kumpiga chini mkuu wa wilaya alipokuwa pm bila hata kumpa nafasi ya kujitetea..
Ndugu kuangalia Moira na kukosoa ni rahisi kuliko kucheza soka
dah umenkumbush aise......
lowasa.huyu huyu aliye aliwatimua wamachinga .
lowasa mwaka.1996 alisema.Ataleta official.rain tz nzma....hahahahha jamani...siasa cha tu.....

Tunayo.mengi....ila tunaona.wadogo .zetu nnavyo.mpamba ......tunajalibu kujiulza mnamjua au sababu .....yupe upande wa kule.kasi.....
hahahahhahaha acheni bhna.

huyu mzee kapga sna hiii.nchi nngekuwa Mimi nngetulia tu kama.mtto wake.alivyo mshauri
 
Unachofanya ni sawa na mwanamke kuwaza kama angezaliwa mwanamme, hivyo ni kupoteza mda kwa kitu kisichowezekana.
 
EL kwanza anayo busara na mtu mwenye busara basi kwenye uongozi ndio anafaa.......
 
Kwa tiketi ya CCM kwa hakika matatizo matatizo yangekuwa haya haya; hususan ya matumizi mabaya ya rasimali ya umma na ushkaji katika kupeana madaraka. Lakini kwa kupitia UKAWA, matatizo bado yangekuwepo lakini siyo ya aina hii ya sasa. Aidha ndani ya UKAWA hakika watu wa kumfunga gavana wapo na kwa kiasi fulani angedhibitiwa. Pamoja na kwamba matattizo ya hapa na pale yangekuwepo hasa ya ushkaji, lipo jambo moja la msingi sana ambalo lingefanyika na kufuta mengine yote ya hovyo: KATIBA MPYA KUTOKANA NA RASIMU YA WARIOBA ingepatikana.
 
Tungerudi kule kule tu.....EL hana toafuti sana na mzee wa msoga, ni mtu aliyezungukwa na wapambe sana, na wengi wao ni fisi kupindukia
 
Siku zote ogopa kumpa cheo mtu maskini na mwenye maono ya kizamani. Mtu yeyote ambaye ana ukwasi na exposure anaweza kuwa kiongozi bora sana kuliko mtu naamini. Kuthibitisha hili mfuatilie mfalme Sulemani na wafalme maskini walioongoza Israeli baada yake utaona tofauti kubwa. Yamkini utajifunza hapo Mr. Barbossa....!
 
kabla ya kumlenga Lowassa na hao uliowataja, hebu tupatie list ya wale viongozi wote wa serikali ya ccm waliosaini hii mikataba ya hovyo ya madini inayoligharimu taifa hivi sasa.
ipo saini ya Lowassa?
ipo saini ya Rostam?
ipo saini ya Mwapachu?
unajaribu kuwaficha waovu wa nchi hii kwa kuwanyooshea vidole wapinzani?
shame!
 
kabla ya kumlenga Lowassa na hao uliowataja, hebu tupatie list ya wale viongozi wote wa serikali ya ccm waliosaini hii mikataba ya hovyo ya madini inayoligharimu taifa hivi sasa.
ipo saini ya Lowassa?
ipo saini ya Rostam?
ipo saini ya Mwapachu?
unajaribu kuwaficha waovu wa nchi hii kwa kuwanyooshea vidole wapinzani?
shame!
Hàa haa mkataba wa buzwagi ulisainiwa kipindi lowasa akiwa waziri mkuu na karamghi na lilikuwa dili lao rostam liwasa na karamaghi na ndio maana lowas rol model wake ni huyo rostam na karamaghi
 
1.Kuzuia mikutano ya kisiasa?
2.Kutowapa wanafunzi wote mikopo?
3.Watu kushikiliwa mahabushi/polisi kwa muda mrefu kwa makosa yanayodhaminika?

4.Kuwakamata wamiliki wa mitandao ya kijamii na kufungia baadhi ya vyombo vya habari.

5.Watumishi wa umma kufanya kazi bila hata nyongeza ya mishahara wala kupandishwa madaraja

6.Miili saba kuokotwa kando ya mito na kuanza uchunguzi baada ya watu kupiga kelele

7.Kuzuia bunge kuoneshwa live

8.Kutumia kumbi za Ikulu kwa mikutano ya chama.

9.Kumteua kanali wa jeshi kukalia nafasi muhimu ya chama tawala.



Je, tuchukulie sasa Lowassa ndio angekua Rais hali ingekua vipi? Na CCM ndio wangekua benchi kibaki kua watazamaji hali ingekuaje?

Bado tu CCM inapendwa???
Namba 2 & 5 zinaumiza sana mkuu
 
Back
Top Bottom