Search results

  1. Erick_Gwanko

    Tuliokosa nafasi JKT

    dd
  2. Erick_Gwanko

    Tuliokosa nafasi JKT

    mm
  3. Erick_Gwanko

    Taasisi ya kuzuiya Rushwa ya Tanzania

    Taasisi ya kuzuiya Rushwa ya Tanzania ilianzishwa mnamo tar. 15 Januari ya mwaka wa 1975 , kwa ajili ya kuzuiya rushwa. Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKURU) ni taasisi ya serikali iliyopewa jukumu la kupambana na rushwa. Ni idara inayojitegemea ambayo ipo chini ya Ofisi ya Rais. Makao Makuu ya...
  4. Erick_Gwanko

    Ni aibu sana

    Nashangaa sana watu wanajitokeza hadharani na kusema eti wanacho cheti cha MTU Fulani na alipata o ivi kweli inaingia akilini baraza LA mitahani kutoa Cheri cha division zero tangu lini?au bila aibu unautangazia umma eti cheti unacho wewe kama nani?
  5. Erick_Gwanko

    James J. Rowley Training Centre nani anwahafamu?

    Habari zenu wana Jf poleni na majukumu ya hapa na pale katika kutafuta ridhiki na changamoto za hapa na pale hasa muwapo katika utafutaji.Nawaombea kwa MUNGU azidi kuwafanyia wepesi na afya njema.Ndugu zanguni naombeni kujua kuhusu James J. Rowley Training Centre kwa undani zaidi ,mwenye...
  6. Erick_Gwanko

    Bodi ya mikopo elimu ya juu angalieni na hili

    "umasikini umegawanyika sehemu mbili,yaani umasikini wa mawazo na pesa.Ndani ya umasikini wa elimu kuna umasikini wa mawazo. Hakuna umasikini mbaya kama umasikini wa mawazo kwa maana kwamba, hakuna kitu kibaya kama kuikabidhi akili yako kwa mtu mwingine(mhisani wa kimasomo binafsi)huku...
  7. Erick_Gwanko

    Upinzani kwanini kila jambo linalofanywa na uongozi wa awamu ya tano mnapinga?

    Kweli Leo nimeamini kuwa unapofanya jambo sio kila mtu anapenda nawashanga baadhi ya viongozi wa vyama hasa upinzani kubeza kila kitu ambacho kinafanywa na utawala wa awamu ya tano. Wao kila kitu wanaponda tu hata siku moja sijawahi sikia wakisifia zuri hata moja, mfano kipindi cha JK...
  8. Erick_Gwanko

    Shukurani kwenu kwa ushauri

    Napenda kuwashukuru
  9. Erick_Gwanko

    Ushauri: Naogopa kutongoza

    Salamu kwa JF, Popote mlipo na poleni na majukumu yenu katika ujenzi
  10. Erick_Gwanko

    Nini maana ya kijana au ni mtu wa aina gani?

    Hivi suala la mtu kujinasibu kwa ujana ni suala la umri pekee. Kwamba mimi nina miaka 25 basi miaka hii ni kigezo tosha cha kuwa kijana. Ujana sio umri tu bali ni zaidi ya umri. Mimi nimekuwa nikijiuliza je, kwa mazingira yetu (Tz) vijana ni akina nani? Je, ni wale wanaojitahidi kufikiri kwa...
Back
Top Bottom