Scorpion_004
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 204
- 125
Kweli Leo nimeamini kuwa unapofanya jambo sio kila mtu anapenda nawashanga baadhi ya viongozi wa vyama hasa upinzani kubeza kila kitu ambacho kinafanywa na utawala wa awamu ya tano.
Wao kila kitu wanaponda tu hata siku moja sijawahi sikia wakisifia zuri hata moja, mfano kipindi cha JK Kikwete walisema mengi alipomaliza mda wake madarakani Leo hii wanamsifia lakini mwanzo wali mponda sana.
Sasa saivi Mh. Mkuu wa Mkoa was DSM Paul Makonda amejitoa kutafuna mfupa ulio washinda wengi Leo watu wale wale wakukosoa kila kitu wanaandika eti anakamata vidagaa anayaacha mapapa na manyangumi, kwanza nimpongeze kwa hilo maana ni hatua moja mbele kufika kwa hayo mapapa, amethubutu.
Sasa wewe kama unasema hao ni vidagaa wa madawa ya kulevya tunakuomba ututajie mapapa kwa kauli yako unawafahamu na kama unashindwa na una uhakika yapo mapapa na unayajua, tunaomba ushirikiane na Mkuu wa Mkoa kufuatlia jambo hili ambalo linapelekea kupotea kwa nguvu ya taifa kwa matumizi ya madawa ya kulevya.
Kama huwezi wewe ni mnafiki pia bora uache kuongea mambo ambayo wenzako wanajitaidi kuyatafutia ufumbuzi ili kuokoa nguvu kazi ya taifa.
[HASHTAG]#mwanasheria wa chama upinzani[/HASHTAG]
/HASHTAG]