Scorpion_004
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 204
- 125
Habari zenu wana Jf poleni na majukumu ya hapa na pale katika kutafuta ridhiki na changamoto za hapa na pale hasa muwapo katika utafutaji.Nawaombea kwa MUNGU azidi kuwafanyia wepesi na afya njema.Ndugu zanguni naombeni kujua kuhusu James J. Rowley Training Centre kwa undani zaidi ,mwenye maelezo ya kutosha naomba unisaidie kuhusu hii kitu.Muwe na siku njema