Search results

  1. Michelle

    Rais Samia: Uliapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SIO Mama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama tawala Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Rais Pole kwa majukumu mengi sana. Nikupongeze kwa kujitahidi kuifanya kazi uliyoapa kuifanya kadri ya uwezo wako. Mheshimiwa Rais baada ya...
  2. Michelle

    Too good for me???

    Habari zenu wana MMU? Mwenzenu nina changamoto nahitaji kujua kama nanyi pia mna/mmekutana nalo katika maisha ya urafiki na uhusiano na je mlitatua vipi? ili na mimi niweze kujiona sawa!!! Hivi imewahi kukutokea umekutana na mtu akakupenda na wewe umempenda ila unaona kama hustahili kuwa...
  3. Michelle

    Kwanini tunakuwa na mapenzi na watu wasiotupenda?

    Kila siku najiuliza kwanini tunawapenda watu ambao wanatudanganya sana,wanatusaliti na kuendelea kuwa nao? Ni kwasababu tuna matumaini ipo siku watabadilika na kuwa kama tunavyotaka au kuwa kama ambavyo Mungu anataka...kama ni suala la kutoweza kuishi bila wao,wakifa je? Au wakiamua...
  4. Michelle

    Me & hubby.....l.o.l

    Whaaat? you want to see me and him???? Enjoy!!
  5. Michelle

    Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

    Kwa wadada wenzangu....wanasema experience is the best teacher....leo tu share experience na tupeane ushauri...... Wengi wetu tutakuwa tumekutana na wanaume ambao mimi ninawaita wanaume malengo ya mbele na wanaume waharakisha mambo na wanaume maneno..... Mwanaume ya malengo mbele ni Yule...
  6. Michelle

    Ushauri wangu katika mahusiano yaliyovunjika

    Natumai wote ni wazima katika siku zangu chache hapa Jamii Forums. Hasa Jukwaa la Mahusiano Mapenzi na Urafiki nimegundua jambo ambalo naona ni vizuri nikasema ninavyoliona; Ukisoma katikati ya mistari ya baadhi ya threads zetu utagundua kuwa kuna baadhi yetu tumekuwa na mahusiano yasiyo...
  7. Michelle

    Wanawake na kupenda wanaume wenye hela...

    Siku hizi naona kupewa gari na wanaume imekuwa issue kubwa.......kiasi kwamba kuna wakati hoja inajadiliwa mtu labda ana tatizo...mtu anaweka comment za ajabu kwamba wasichana wa siku hizi mnafuata hela na mnadanganywa na magari sijui nyumba na vitu kama hivyo.........ndo maana...
  8. Michelle

    Wanaume Nisaidieni

    Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi Naomba mnisaide tu maswali yafuatao: 1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what...
  9. Michelle

    Quiz:Test Your Belief About Feeling and Receiving Interest From Others

    One of my consistent recommendations to people is to have an ongoing honest conversation with yourself and most of this comes down to asking questions and listening to your thoughts. We often bumble along through life unconsciously, not challenging our beliefs, not questioning our actions and...
Back
Top Bottom