Kwanini tunakuwa na mapenzi na watu wasiotupenda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini tunakuwa na mapenzi na watu wasiotupenda?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Michelle, Mar 9, 2011.

 1. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kila siku najiuliza kwanini tunawapenda watu ambao wanatudanganya sana,wanatusaliti na kuendelea kuwa nao?

  Ni kwasababu tuna matumaini ipo siku watabadilika na kuwa kama tunavyotaka au kuwa kama ambavyo Mungu anataka...kama ni suala la kutoweza kuishi bila wao,wakifa je?

  Au wakiamua kutuacha,will it make a difference na wewe ukiamua yatosha na kuondoka?huoni kwamba tunawapa wapenzi wetu nafasi ya Mungu kwa kuona hamna maisha bila wao? Too much magnification.....low self esteem?


  Ni kwanini tunaendelea na imani potofu kama vile wanaume wote baba yao mmoja,hata nikimwacha sitapata wa tofauti,tunaendelea kuchagua aina ile ile ya wapenzi (eg wasiotaka commitment,wanaoona hela ni kila kitu) halafu tunatarajia wawe tofauti na wale wa nyuma tuliokwisha achana nao?

  Ni kwasababu tunaogopa kuchukua muda na maamuzi magumu ya kusubiri na kuchunguza watu kabla ya kuanza nao uhusiano... tunaishia kukubali wanaokuja hata kama wana tabia zile zile na kutarajia wawe tofauti na wale wa nyuma.......!!!

  Nafikiri tujitahidi kuendesha maisha yetu na kuishi kwa kujiamini zaidi na kuamini kuwa tukiamua kuwatafuta walio tofauti na wale wa nyuma inawezekana kuwapata.....na zaidi tukimuomba Mungu.....!!!

  Ningependa kusikia kutoka kwenu,tuendelee kuamini ni wale wale tu au tujitahidi kutafuta walio tofaut au kuwa wenyewe?? Does it real worth crying everyday, praying , worrying expecting someone will change?? Tusaidiane!!

  My thinking: We should never look for less when it comes to love and accept anything....we all deserve the best......si inawezekana???
   
 2. I

  Ipole JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Michelle, Unapozungumza jizungumzie wewe binafsi maana unayoyazungumza siyo kwamba watu wote yanawakuta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Very possible Michelle,
  Subra,na kumtanguliza Mola ndilo suluhisho la yote yanayotusibu.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Case in point, Barack and Michelle Obama.....
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  No one is perfect!!!
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Inawezekana mtu kubadilika. Hawa ni wale ambao wakiteleza mara hutambua kosa lao, hutubu na hawarudii tena kosa hilo hilo. Lakini yule ambaye anakosa, anajidai kutubu na kuomba samahani lakini badaye anarudia kosa tena na tena, huyu inakuwa ni tabia yake na kamwe habadiliki.

  Inauma kuona unasalitiwa na mtu unayemwamini, lakini haina faida kung'ang'ania mtu wa aina hii. Vidonda vya usaliti vinachukua muda kupona, na hata vikipona, kovu litabaki. Faida ya kovu hili ni kumbukumbu zako za kutorejea makosa.

  Chukua muda wa kutosha kutafakari. Maamuzi ya haraka, hasa kutafuta mwengine mara tu baada ya kuvunjika uhusiano si suluhisho. Nahisi ni bora kusubiri, subiri utafutwe badala ya kutafuta.

  Wema wapo na unastahili kupata kilicho bora. Na kama hakuna budi, "bora kuwa peke yako kuliko kuwa katika company mbaya"
   
 7. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Michelle,

  Please, take not that;


  1. No one is perfect..... every one is a cheater, and every one can be cheated on.... but the differences are styles, extents, aims, reasons, durations, and the ways you deal with it.
  2. You are not created to trust a human being....! It is even very possible to trust a dog along the gate, but not a human being along her/his body.....! So, only God is the one to be trusted, and hence never trust any person, even yourself....!
  3. Any challenge to happen on you should be taken as a lesson.
  4. Nobody is exactly perfect to be someone to anyone.... so, never expect to find a such person to you.... You must sort, tune, and prepare her/him to be the way you want....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mmh! nafikiri siko mwenyewe labda niwataje na wenzangu wenye hili tatizo....Michelle,Asha,Halima,Pasco,Eva,Christina na Amina na wengine siwajui ila najua wapo....

  Umekuwa subjective badala ya objective....nimeuliza maswali amabyo mimi sina majibu wala wao ndo maana tunafanya vitu vile vile....nikafikiri pengine twaweza pata experience au mawazo tofauti.....asante anyway,

  Nakuelewa!!
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kwanini tunamuomba Mungu na again we fall in love with the same type of creatures that hurts us? Do you think God could have kept us away from this people in the first place?
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  oh,thats written in the bible and we all know that....my point was...mtu anakupiga,analeta mwanamke ndani wewe ukiwepo and then you still stay? why do they stay?is it not possible to find someone else or just stay single?
   
 11. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  really?
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  You bet...
   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  binafsi mwanamke akinitenda tu huwa hata kama nitamsamehe lkn cmuweki tena ktk mawazo yangu na taratibu natafuta mwengine
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Shukrani sana...na hasa nilikuwa nawazungumzia hao wanaokosea na kurudia kila kukicha.....nimependa hiyo...ni bora kuishi peke yako kuliko kwenye kampani mbaya.....

  Sasa hapo uliposema tusubiri kutafutwa....navyoelewa mimi hali hii huwakuta pia wanaume....nao wakisubiri kutafutwa si watasubiri sana ukizingatia wengi wetu lets say hapa Tanzania hatuna utamaduni wa kuwatafuta wanaume?.....Shukrani sana,umenijibu kwa ufasaha....!!
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ni kweli ila kuna mwenye kasoro zinazovumilika (depending on individuals)
  wengine ni mizigo kuwa nao.

  Mfano kwangu mwanaume kuwa mkorofi kiasili si tatizo kiiivyoo ILA MVUTA SIGARA +LAGER siwezi kabisaaaaaaaaaa
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Michelle,

  Michelle,

  Matatizo yote hayo ni sababu ya uwepo wa shetani. Shetani ataendelea kumjaribu mwanadamu kila siku, peponi ndipo ambapo hakuna majaribu, tutaishi kwa raha na mustarehe, hakuna kufa wala kuzeeka.

  Twaingojea Paradiso.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Excellent....do you really believe every one is a cheater?....am talking about those who beat women,who bring their concubines into marital beds etc....i think its too much....

  but some choose to believe they will change and keep praying for a very long time...do you still think thats right?

  How do you prepare someone to be the way you want?
   
 18. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  i do....!!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Mar 9, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  It's a mirage to think you can change a grown azz man or woman.
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Marytina,hufikiri kuna vitu binadamu wote hawawezi vumilia bali wanaishi kwa kuumia wakiamini wapenzi wao watabadilika? mfano mwanaume anayekupiga au kukuletea mwanamke ndani zaidi ya mara kumi?
   
Loading...