Wanawake na kupenda wanaume wenye hela... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake na kupenda wanaume wenye hela...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Michelle, Feb 4, 2011.

 1. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Siku hizi naona kupewa gari na wanaume imekuwa issue kubwa.......kiasi kwamba kuna wakati hoja inajadiliwa mtu labda ana tatizo...mtu anaweka comment za ajabu kwamba wasichana wa siku hizi mnafuata hela na mnadanganywa na magari sijui nyumba na vitu kama hivyo.........ndo maana mnateseka............Au mtu umepata mwanaume mwenye uwezo watu wanakukatisha tamaa,mara hawajatulia,atakudharau mara sijui nini.......

  Na wasichana tumekuwa tukijaribu kubisha hilo au kusema si wote.........

  Nafikiri wote tunapenda maisha mazuri,hayaletwi na hela bali hela ni sehemu tu ya kuwa na maisha bora na yenye furaha.....

  Nikiangalia dunia ya sasa,na hasa jamii inayonizunguka siioni tofauti ya kimatendo na kimaadili ya mwanaume mwenye hela na maskini......wanaume asilimia kubwa ni waongo na wanatoka nje ya ndoa na wengine wanashindwa hata kutimiza wajibu wao kama baba na kama mume.........mimi siamini kwamba ukiwa na hela kiasi au usipokuwa nazo inakufanya wewe uwe mwema sana au mwenye upendo wa kweli....

  Nafikiri maisha ni kuchagua na bahati, mwanamke ukipata mwanaume mwenye hela nyingi manake hata mwenye mia mbili atasema anazo.... kama UNAMPENDA, mchunguze, chukua muda tafuta ufahamu wa kile anachokifanya kumpatia kipato...... ukimuona anakufaa nenda,ishi maisha yako,Sali,lea watoto wako na kuwa mvumilivu,zaidi jitahidi kuwa wa manufaa kwa jamii yako na wenye shida.

  Ukiwezeshwa nawe kaza buti,jijenge,fanya kazi usiwe tegemezi.......na zaidi kuwa msaada kwa mumeo na furaha yake ili aendelee kufanikiwa zaidi na zaidi mkumbushe kuwasaidia wasio na uwezo.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  nani tena kakusema, mbona kama unampa mtu kidongo?
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  nimependa sana Michelle,
  hapo kwenye sentensi yako ya mwisho!!!!
  ubarikiwe mama!!!
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  well said
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aiseee!!!! Leo umekula nini sijui this is vere vere uziful posti tena bora umesema wewe mwenyewe maana angesema mwanaume ingekuwa ishu nyingine tofauti

  The Following User Say Thank You to Michelle For This Useful Post:

  The Finest (Today) ​
   
 6. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mi mwenyewe niko katika harakati za kuhonga gari, muda si muda my new kilambalamba atakuwa anasukuma ka rav 4 milango mitatu.
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280


  Yaani if you real want true freedom, that is what everyone should do....mambo ya kutegemea watu wengine ni kujipa mzigo ambao ipo siku utakuelemea tu. Kutafuta mali na utajiri ni suala ambao linawezekana kama akili zetu tukiziweka vizuri.
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Siko hapa kutoa madongo,ni maoni tu....imekuwa kana kwamba wanaume wenye hela hawana mapungufu.....au ukiwa na mwanaume mwenye hela hapaswi kukosea...
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Big up yourself....
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nimetoa kwenye comment yako moja hivi.........:coffee:
   
 11. S

  SWADO Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nice msg Michelle ujumbe umefika
   
 12. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aliyekudanganya nani kuwa fedha zinztenganishwa na mapenzi. Fedha ni lubricants ya mapenzi dada.
   
 13. S

  SWADO Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Embu nielekeze namna ya kutoa thanks si unajua mambo ya technologia kule kwetu yamekaa kushoto nikupe shukrani zako za dhati
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo wasiokuwa na hela hawastahili kupendwa???
   
 15. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Asante SWADO,sidhani kama unaweza toa thanks via mobile.....nimezipokea,asante kushukuru.....
   
 16. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  My wish, nikuone one day, unafananaje?, You actually puzzle me with most of your comments, posts and inputs. Hii iko poa, Big up! :clap2:
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  jamani,am grateful......ukitaka niona utaniona tu Elia niko kawaida kabisa......Big up yourself as well.....
   
 18. K

  Kamarada Senior Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  :A S thumbs_down: Msg coppied :clap2:
   
 19. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  pesa ni matokeo na wadada hawana budi kukaa chini na kuhangaikia kutafuta pesa zao , lakini embu tazama mazungumzo meni ya kina dada,yanaegemea wapi .....pesa pesa hata wale wenye vipato siku izi mawazo yao ni kuchuna tu ...hawa wanaume unafikiri hawasikii wala kuelewa wanahitaji kupendwa nao lakini wengi wamekuwa na wasiwasi wakiamini inayopendwa ni mifuko yao

  kina dada wanahitaji kubadilika na kujifunza kujitegemea sio ooh kila mara vocha,umeona gagulo zuri,mama anaumwa,offer ya bia na kitimoto hiyo mizinga ndio inayoponza
   
 20. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  no comment for 2day...ila nahisi kuanza kuku-fuatilia kujua "UMEPATA WAPI" uwezo huu adimu sana kwa wanawake wengi hasa wa dunia ya tatu kama tanzania kuja na hoja +ve na ya-kujenga jamii kama hii... be blezd
   
Loading...