Search results

  1. Humilis

    Kutoka NACTE: Maombi ya Uhamisho kwa wanafunzi wanaoendelea

    Tafadhali soma kwa umakini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho. Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 30-04-2022. Masharti na Sifa kwa Waombaji, Taarifa kwa Waombaji: 1. Mwanafunzi anashauriwa kuhakiki na kufahamu taarifa za msingi za chuo...
  2. Humilis

    Nunua dagaa watamu..Dagaa nyasa.

    Habarini ndugu, Tunauza dagaa watamu wa nyasa. Kilo sh.6500. Ni dagaa wasio na mchanga na wasio na uchachu. Tupo Mtwara mjini na tunatuma popote ulipo. Karibuni sana. Kwa mawasiliano. Piga au tuma ujumbe (na whatsapp) 0758 211 194. Karibuni wakuu.
  3. Humilis

    Naomba kujua namna ya kuhifadhi vitunguu.

    Habarini wana Jf. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kuhifadhi vitunguu.Nahitaji kuhifadhi peto kama 10 hivi kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu hivi. Natanguliza Shukrani.
  4. Humilis

    Ujumbe: Baba anasahau

    BABA ANASAHAU. (Kwa wazazi,walezi na kila mmoja) Sikiliza,mwanangu. Nasema hili ukiwa umelala,mkono wako ukiwa umekunja na kuuweka chini ya shavu lako na nywele zako zenye unyevu,za kahawia zikiwa zimenasa katika paji la uso wako. Nimeingia kwenye chumba chako kwa siri,peke yangu.Dakika chache...
  5. Humilis

    Ni nini tatizo LA hii simu???

    Natumia tecno J5,mwanzo ilikua iina'connect' internet vizuri,lakini baadae ikaanza kusumbua na kuanza kutoconnect internet vizuri,yaani inaconnect Edge tu.Pia sio internet tu,Bali hata mtandao wa kawaida,Mara inaswitch off sim card,Mara inaswitch on..nimejaribu kurekebisha settings kwa kila...
  6. Humilis

    Msaada: Kwa wazoefu/wauzaji wa vifaa vya stationery nisaidieni

    Habarini wakuu..., Ni wapi naweza kupata mashine ndogo ya kutoa copy(photocopier) kwa bei nafuu?? Hiyo mashine iwe; *Inatoa copy pande mbili *Inafanya kazi kwa haraka *Isiwe na scanner.(kwa sababu zenye scanner ni ghali zaidi) na *Imara Nisaidieni wakuu....
  7. Humilis

    Kamanda Mawazo...

    R . I . P
  8. Humilis

    Upweke.....

    .
  9. Humilis

    Iwe ni ya kutunga au la, lakini waweza jifunza chochote

    Copied and Pasted [17:04, 02/02/2015] Lily .CPA: Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata sikumoja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa nane usuku...
  10. Humilis

    Bei ya Water pump Ndogo (Manual)

    Habarini wadau.. Kwa anayefahamu bei za water pumps ndogo(manual) na upatikanaji wake naomba anifahamishe tafadhali...nina shida nayo.
  11. Humilis

    Naomba upitie hapa kwanza

    Habarin Wakuu... naomba kuuliza kama kuna chuo cha Clinical Officer mkoani Mbeya au Iringa(mjin)...Binafsi nimeulizia nimeshindwa kupata jibu.Nishaapply vyuo vtatu vya serikali mtandaoni,lakin idad ya waombaji ni kubwa na ninapata waswas wa kuchaguliwa...Naomben msaada wenu.. Ahsanten na kaz...
Back
Top Bottom