Search results

  1. mbegubora29

    Msaada kuhusu Mkopa

    Salamu wandugu, Naomba kuuliza hawa Mkopa ni wa kweli au kama waongo tu wanasema wanafanya biashara ya kukopesha bidhaa basi wakanilainisha nikakubaliana nao lakini naona kama wana dalili ya utapeli. Mwenye ufahamu nalo naomba mnifahamishe ndugu zanguni.
  2. mbegubora29

    Naomba uzoefu kuhusu KOICA scholarship?

    Aliyewahi kwenda masomoni kwa Koica program au mwenye uzoefu anipe maujanja maana nimeomba lkn Sina ufaham nayo hiyo kitu
  3. mbegubora29

    Upimaji wa covid 19

    Hbr wanajukwaa,hivi ule utartibu wa kutosafiri mpaka uchanje covid 19 bado upo? Na kupima pia Ni lazima na Bei gani kwasasa? Naomba wajuzi wa mambo mkuje mnisadie! Na Tanzania tunachanjoa za Aina ngap? Na vipimo vinapatikana maeneo gan nchini!?
  4. mbegubora29

    CHADEMA wanaziishi hadithi za Abunuasi wakidhani tupo katika eneo fulani lisilofikika

    CHADEMA mnakurupuka, eti mnatoa kabisa maazimio, tena mmekaa katika hoteli ya kutalii. Eti serikali ifanye moja mbili tatu kama nyie hampo duniani na kuelewa dunia ilivyo. Kwani mmemaliza uchaguzi Kenya eeeh? Basi kitulizeni, na mwenzenu amewaambia atakuwa kama magufuli. Naona mkasinyaa kidogo...
  5. mbegubora29

    Bodi ya mikopo

    Mwenye mawasiliano na afisa wa bodi ya mikopo anisaidie wadau!
  6. mbegubora29

    CHADEMA mnajitambua kama chama, au ni kikundi cha wahuni?

    Ukimsikiliza lema kwenye audio yakee inayosambaa mtandaon utaona ni wazi ana chuki na viongozi wa serikali yakee,na wafuasi wake wanamwita nabii kuonesha ukiwa chadema unakuwa km mhuni fulani hivii. Jipambanueni kutoka kuwa wajinga na wenye husda kisa tu mmekosa nafas ya kuwa viomgozi!
  7. mbegubora29

    Chadema mnaamini katika nini!?

    CHADEMA hakuna Uhuru usio na mipaka, pia huwa najiuliza na kama hamtojali mnijibu IPI Imani katika mfumo wa uongozi Kwani binafsi naamini demokrasia ni mawazo meengi na Uhuru lakini nyie mnamuona Mbowe kama ndio kila kitu Ila madhara yake Ni mfumo wa serikali ya mtu mmoja na chama kimoja maana...
  8. mbegubora29

    CHADEMA jitambueni, mna safari ndefu sana!

    Kimsingi mnaboa na mmekuwa kama watoto vilee ebu JITAMBUENI na muwe na malengo ya kufikia Jambo fulan mnaloliamin. Siasa Ni fitna majungu lakini kubwa siasa Ni nguvu na mbinu au mamlaka aliokuwa nayo mwenzio ambaye Ni mpinzani wako,kwa Tz mfumo wa vyama vyingi tumebebeshwa zigo ambalo hatuliwez...
  9. mbegubora29

    Kama wanayoota chadema kwenye hii nchi ni kweli! Basi watakuwa kama mitume ingawa watu waliwakataaa!

    Najaribu kuwaza na nikimwangalia chadema hivi Nani atakuwa rahisi na wao wakridhika na je wao wakiishika hii nchi tutafika wapi? Mbona chama Chao kina ukata lkn hawajiwezi,mbona sio wanademokrasia Kama jina la chama chao? Upinzan kwa ujumla Tz wanaota au wanafanya nadharia ambayo haipo? Nilkuwa...
  10. mbegubora29

    CCM, CHADEMA, ACT na vingine vingi dhuluma kwa nchi za Kiafrika

    Mabepari wametuleta machafuko, matusi, dharau, dhuluma, ghasia, wizi na mengine mengi tunayojionea. Leo so ajabu kuona chadema wanamtukana CCM na baadaye huyo wa chadema akatimkia CCM yaani upumbavu mtupu Wenye wanauita mfumo wa vyama vyingi badala ya kuuita mfumo ghasia. Nao CCM wakikaa...
  11. mbegubora29

    Dhuluma ya tozo za simu

    Habari za asubuhi! Wana Jamii members! Kwanza nikiri mie sio mwanachama wa chama chochote na sitarajii kuwa nacho ila nami natumia fursa ya katiba kila mmoja ana Uhuru wa kutoa maoni juu ya muktadha wa Taifa. Malipizi yoyote bila makubaliano ni dhuluma hivyo kwa yeyote atakayeweza kukwepa...
  12. mbegubora29

    Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

    Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato cha nne aliyeshindwa Kwani wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini. Msichana wa chuo kikuu anaamini ndo ni smartphone na kuweka bando tu kucheki sinema. Wanajua out Mara zawadi eeeh za kitoto kabisa lakini...
  13. mbegubora29

    Yanayotokea Afrika Kusini liwe fundisho kwa wanamapinduzi wetu wa Katiba Mpya

    Wanadam kimaumbile tunamapungufu mengi saana na ukamilifu na sifa njema anastahili yeye muumba mbingu na ardhi Kwa Wana mapinduzi wanaoamini ustawi watu utatokana au utajengwa na katiba mpya wajifunze kupitia Afrika ya Kusini kwa kuamini walikuwa na katiba Bora iliyomuadabisha raisi kwa...
  14. mbegubora29

    NASAHA: Viongozi wetu kuweni makini na ulimi

    Hapa karibuni kumetokea mkanganyiko wa maneno juu ya kile walichokizungumza kwa hisia na punde kuomba radhi kwa hakika sitaki kuamini kama walitereza isipokuwa walikusudia haswaa na wakaeleweka murua ila kwanini hawakuwaza mapema au kabla ya kusema au hawajawaza kama kuna mwisho gani badala yake...
  15. mbegubora29

    Msaada: Mfumo wa NACTE una shida?

    Nina binti amechaguliwa Mtwara TTC kwa hiyo nilikuwa napendelea nimuamishie mikoa ya karibu kwani mimi nipo Tanga na halafu ikishindikana nataka nithibitishe kwenye mfumo ila unagoma tangu Jana. Je, nauliza huenda nakosea au kuna shida kwao huko kwa hiyo naomba msaada kwa hilo wandugu.
  16. mbegubora29

    Kuelekea Mei Mosi: Nimekuwa mtumwa mwenye shahada

    Ijumaa Mubarak na Ramadhan Mubarak! Hbr wandugu. Umebari umenipa elimu ya SHAHADA iliyonifanya nipambane nutafte kazi na kweli nikapata kazi kwasab niliambiwa elimu ni ufunguo wa maisha.haswaaa walinitia nguvu ya kusoma kwa bidii na nikafanikiwa kufikia kiwango cha SHAHADA ikiwa misingi mikubwa...
  17. mbegubora29

    Tundu Lissu anashindwa kutofautisha kati ya kusimama kwenye Jukwaa la Siasa na kusimama Mahakamani

    Huyu Mwanaharakati anachanganya watu na nashangaa mpaka leo hatambui Siasa kama fitna, majungu, dhuluma, uongo halafu anataka kutuaminisha majukwaani anataka kushindana hivi sitaki kusema kama hamjui mshindani wake au ndo fyuzi moja imefyatuka? Na sina ubishi na ujuzi wa Sheria wa Mwanaharakati...
  18. mbegubora29

    Demokrasia imeleta dhiki na ghasia duniani huku waathirika wakubwa ni wakereketwa

    Fanya ufanyavyo mfumo wa kidemokrasia hauwezi kuwakomboa wananchi kutokana na shida walizonazo. Kwanini siuamini? Huu mfumo nimejarbu kuutumia katika familia yangu sijafaulu. Yaani iko hivi Mimi ndo baba niliruhusu demokrasia katka chakula cha usiku ila niliishia kuchanganyikiwa mwisho nikatoa...
  19. mbegubora29

    CHADEMA mnatutapeli kuhusu Wenyeviti wenu wa kanda

    Yaan mbunge hlf mwenyekiti hii ndo nn? Ebu badilikeni bhas kwan naamin CHADEMA ina wanachama wengi tu wenye IQ kubwa!
  20. mbegubora29

    MSAADA KWA ANAYEFAHAMU CHUO CHA USTAWI WA JAMII BUHARE COMMUNITY DEV INSTITUTE KILICHOPO NUSIMA MKOANI TARIME NAOMBA ANIJUZE

    Wandugu ninadogo amechaguliwa huko nataka kujua utaratabu endapo ukichaguliwa na serkali moja KWA moja hasa hasa ktk gharama au kiushauri naweza kughairi ili nimpeleke kidato cha tano??
Back
Top Bottom