mbegubora29
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 552
- 403
Nina binti amechaguliwa Mtwara TTC kwa hiyo nilikuwa napendelea nimuamishie mikoa ya karibu kwani mimi nipo Tanga na halafu ikishindikana nataka nithibitishe kwenye mfumo ila unagoma tangu Jana.
Je, nauliza huenda nakosea au kuna shida kwao huko kwa hiyo naomba msaada kwa hilo wandugu.
Je, nauliza huenda nakosea au kuna shida kwao huko kwa hiyo naomba msaada kwa hilo wandugu.