CHADEMA mnatutapeli kuhusu Wenyeviti wenu wa kanda

Mi pia huwa inanitatiza mwenyekiti wa chama lazima awe rais ivi ccm hakuna wengine wa kushika uenyekiti?
Sababu za Rais kuwa mwenyekiti Wa CCM zipo nyingi lakini hizi chache zitasaidia kufungua uelewa wako:

1. Ni maamuzi ya mkutano mkuu na wajumbe Wa mkutano mkuu Wana haki ya kumpigia kura ya HAPANA na kura zisipotosha ,kikanuni atakuwa amekosa sifa ya kugombea kabisa.

2.ni utamaduni mzuri na wenye manufaa kwa sababu hauvunji katiba ya chama wala katiba ya nchi. Utamaduni huu umeonesha Rais anakuwa mtendaji mzuri zaidi anapokuwa mwenyekiti kwa sababu utekelezaji Wa ilani unamuhitaji kusimamia.

3.wanaofaa kugombea uenyekiti Wa CCM wapo wengi na wenye uwezo pia ni wengi lakini utamaduni na utaratibu uliopo unapendwa na kuheshimiwa na wanachama wote Wa CCM.
 
Kwan we hujaona walivyopokezana kijiti ebu kuwa na kumbukumbu bhas usijisahaulishe ndugu
 
Demokrasia ina wigo mpana sana Mkuu,ukiona Chadema INAKUTAPELI huielewi,hamia CCM Mkuu,acha kupata tabu sisi tunaoielewa acha tuwepo tuwepo kwanza.

*Unashangaa Mbunge kuwa mwenyekiti wa chama ngazi ya kanda ila hushangai Rais kuwa mwenyekiti wa chama vile vile.

This is absolutelly disgusting
 
Sasa utamaduni wenu ndio unakuwa utamaduni wa wote,? Kila timu ishinde game zake!
Sababu za Rais kuwa mwenyekiti Wa CCM zipo nyingi lakini hizi chache zitasaidia kufungua uelewa wako:

1. Ni maamuzi ya mkutano mkuu na wajumbe Wa mkutano mkuu Wana haki ya kumpigia kura ya HAPANA na kura zisipotosha ,kikanuni atakuwa amekosa sifa ya kugombea kabisa.

2.ni utamaduni mzuri na wenye manufaa kwa sababu hauvunji katiba ya chama wala katiba ya nchi. Utamaduni huu umeonesha Rais anakuwa mtendaji mzuri zaidi anapokuwa mwenyekiti kwa sababu utekelezaji Wa ilani unamuhitaji kusimamia.

3.wanaofaa kugombea uenyekiti Wa CCM wapo wengi na wenye uwezo pia ni wengi lakini utamaduni na utaratibu uliopo unapendwa na kuheshimiwa na wanachama wote Wa CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom