CHADEMA mnajitambua kama chama, au ni kikundi cha wahuni?

mbegubora29

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
483
294
Ukimsikiliza lema kwenye audio yakee inayosambaa mtandaon utaona ni wazi ana chuki na viongozi wa serikali yakee,na wafuasi wake wanamwita nabii kuonesha ukiwa chadema unakuwa km mhuni fulani hivii.

Jipambanueni kutoka kuwa wajinga na wenye husda kisa tu mmekosa nafas ya kuwa viomgozi!
 
Ni sauti ya Chadema au Sauti ya Lema?
 
Ukimsikiliza lema kwenye audio yakee inayosambaa mtandaon utaona ni wazi ana chuki na viongozi wa serikali yakee,na wafuasi wake wanamwita nabii kuonesha ukiwa chadema unakuwa km mhuni fulani hivii.

Jipambanueni kutoka kuwa wajinga na wenye husda kisa tu mmekosa nafas ya kuwa viomgozi!
Ndugu mbona Lema alichoongea kipo kikatiba kuhusu kurusiwa Wapinzani kufanya mikutano ni halali yaani ninaamini ni ujumbe mwafaka tu kwa nyakati tulipo
 
Ukimsikiliza lema kwenye audio yakee inayosambaa mtandaon utaona ni wazi ana chuki na viongozi wa serikali yakee,na wafuasi wake wanamwita nabii kuonesha ukiwa chadema unakuwa km mhuni fulani hivii.

Jipambanueni kutoka kuwa wajinga na wenye husda kisa tu mmekosa nafas ya kuwa viomgozi!

Angalizo kidogo: "Unabii wa Lema si wakuitwa na wafuasi. Mwulize Sabaya au waulize wana Lumumba. Watakupa mrejesho."
 
Ukimsikiliza lema kwenye audio yakee inayosambaa mtandaon utaona ni wazi ana chuki na viongozi wa serikali yakee,na wafuasi wake wanamwita nabii kuonesha ukiwa chadema unakuwa km mhuni fulani hivii.

Jipambanueni kutoka kuwa wajinga na wenye husda kisa tu mmekosa nafas ya kuwa viomgozi!
UVCCM bhana! Kwa hiyo CCM ndiyo chama cha siasa! Na siyo kikundi cha watu wacahche, na kinacho rithishana madaraka kutoka kizazi kimoja kwenda kingine, kama wengi tunavyo amini!!
 
Tofauti ya ccm na Panya Road ni umri tu mkuu
 
Kwa hiyo mh Rais alikutana ikulu na kiongozi wa kikundi cha wahuni?? hata std 7 failure hawezi kuandika ujinga huu
 
Back
Top Bottom