Search results

  1. D

    Serikali yakabidhi DAWASA mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe

    Na Mwandishi wetu Serikali kupitia Wizara ya Maji imeikabidhi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) mradi wa kusambaza maji kwa wakazi wa Wilaya ya Mwanga Same na Korogwe kwa ajili ya kuuendesha. Serikali imefikia uamuzi wa kukabidhi mradi huo wa maji wenye jumla ya...
  2. D

    Mawasiliano rasmi ya DAWASA

    Fahamu mawasiliano rasmi ya Mikoa ya kihuduma Dawasa itakayosaidia urahisi wa kupokea na kushughulikia changamoto za huduma ya Maji kwa Jiji la Dar es salaam na Pwani. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    Taarifa ya kuzimwa kwa Mtambo wa Maji wa Ruvu juu kutokana na hitilafu ya umeme

    TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU JUU 17/06/2019 Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA), inasikitika kuwatangazia wateja wake wanaopata maji kutoka mtambo wa Ruvu Juu kuwa, uzalishaji maji katika mtambo huo umesitishwa kwa muda hivyo kupelekea...
  4. D

    Lipa bili yako ya maji leo kuepuka usumbufu

    LIPA BILI YAKO YA MAJI LEO KUEPUKA USUMBUFU
  5. D

    DAWASCO yaingia rasmi mfumo wa kieletroniki wa malipo Serikalini

    SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO), limesema linatarajia kuokoa takriban Sh. Milioni 200 kila mwezi, kufuatia kuanza kutumia mfumo mpya wa kielektroniki wa malipo serikalini (GePG). Mfumo huo umetajwa kulinufaisha shirika hilo kwa sabanu utaondoa ulipaji wa tozo za...
  6. D

    Taarifa ya kuzimwa kwa mtambo wa Maji wa Ruvu juu, Wananchi wa Kibaha, Kimara na Tabata kukosa maji

    KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MAJI KWA WANANCHI KIBAHA, KIMARA & TABATA UBORESHAJI WA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU JUU Shirika la MajiSafi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), inawatangazia wateja wake wote wa jiji la Dar es salaam, pamoja na Mji wa Kibaha Mkoani Pwani kuwa kutakuwa na ukosefu...
  7. D

    DAWASCO yaja kivingine, yazindua App ya maji, mteja sasa kupata maji ndani ya siku 7

    Leo kuna mkutano wa Shirika la MajiSafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) na waandishi wa habari na unafanyika hapa Gerezani makao makuu ya DAWASCO. Ni kuhusu Application ya DAWASCO APPLICATION MPYA YA DAWASCO KATIKA SIMU YAKO Ni mfumo mpya wa mawasiliano katika simu ya Mkononi...
  8. D

    Wadaiwa sugu wa Maji (DAWASCO) kushtakiwa

    Shirika la majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco) limedhamiria kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu wa Ankara za Maji hususani waliolimbikiza madeni ya nyuma kuanzia kipindi cha mwezi mmoja na kuendelea. Taarifa iliyotolewa na shirika hilo hivi karibuni imesema kuwa hatua hiyo imefikiwa...
  9. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi...
  10. D

    DAWASCO waanzisha huduma ya kuunganishiwa Maji kwa Mkopo kwa wenye uwezo Mdogo

    Picha ni Mwananchi Kimara Bonyokwa akiwa wameanza kupata huduma ya Majisafi kwa mkopo toka DAWASCO. Huduma ya maji kwa mkopo ni kampeni iliyoanzishwa na Dawasco kwa lengo la kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma ya Majisafi bila kujali kipato chao Watu wote wenye uwezo mdogo wa kuunganisha...
Back
Top Bottom