Search results

  1. misorgenes

    Nahitaji mwenzi ambaye ni muhimu kuwa na sifa hizi

    Mkuu shida hips na uelevu havikai ndani ya mwili mmoja!
  2. misorgenes

    Bobi Wine kwa Wakenya: Defend your Constitution before it's too week to defend you

    Hahahahaha. JF bwana, asant kwa kunifanya nicheke mkuu
  3. misorgenes

    Msaada: Nimetapeliwa na mtumishi wa Serikali, Halmashauri ya Kilolo, Iringa

    Kaka mimi hua nasema hivi"Ukiona mtu sio mtu wako wa karibu anakopa hela kwako jua watu wake wa karibu wote kawamaliza kwa kuwakopa na kushindwa kuwalipa au kuwazulumu". Hivyo ulikutana na tapeli.
  4. misorgenes

    Anatafutwa kijana wa Sales, iringa mjini

    Ni kiwanda kidogo kinazalisha bidhaa na kusambaza. Kwaiyo anatafutwa kijana mwenye ushawishi wa kuuza bidhaa pamoja na uzoefu wa kazi za mauzo. Malipo kwa commision ila utapewa usafiri au nauli siku utakazokuwa kazini. Njoo inbox tuongee zaidi.
  5. misorgenes

    Nimelala naye siku moja Tu, leo ananiambia ana Mimba!

    Kujibu swali lako kwa kifupi tu, Inawezekana hasa kwa mwanamke mwenye mzunguko mfupi!
  6. misorgenes

    Hivi kuna Waziri anamzidi Bashungwa wa Tamisemi kwa kutoa Matamko ya Maagizo?

    tamisemi inafanya kazi na halmashauri zote. Na halmashauri ina idara nyingi. Kwa uchache tu ipo 1) idara ya fedha- hapo kuna wizara ya fedha, 2) idara ya uchumi na mipango wizara ya fedha na mipango, 3) idara ya afya-wizara ya afya, 4)idara ya elimu-wizara ya elimu, 5)idara ya kilimo- wizara...
  7. misorgenes

    Kwa wale waliowahi kufanya interview TRA pitia hapa

    Unaruhusiwa kuingia na Act? na Act ipi?
  8. misorgenes

    Spa Therapist needed in Iringa

    Spa Therapist Beauty & Salon Details Employer Name: Comfort Spa & Wellness Organization Type: Private Sector Role: Experienced Position Type: Full Time Location: Iringa Iringa Mjini Application Deadline: 11-04-2017 Description - Good knowledge of massage treatment -...
  9. misorgenes

    Nyumba inapangishwa.

    laki nane kwa mwezi ila mnaweza negotiate
  10. misorgenes

    Nyumba inapangishwa.

    Asante
  11. misorgenes

    Nyumba inapangishwa.

    nyumba bado ipo jamani!
  12. misorgenes

    Chemsha bongo

    256
  13. misorgenes

    Kwa wakazi wa iringa mjini, nauza maziwa fresh na mgando

    Habari zenu! kwa wale wakazi wa iringa wenye migahawa pamoja na matumuzi ya nyumbani, nauza maziwa ya ng'ombe fresh na mgando. Lita moja ya maziwa freshi tshs 1,500/= na maziwa mgando lita moja tshs 2,000/=. Karibuni sana tuongee biashara.
  14. misorgenes

    Nyumba inapangishwa.

    nyumba mpya inapangishwa ipo iringa mjini, eneo linaitwa gangilonga. kama una uhitaji na nyumba ya kupanga tuwasiliane kwa namba 0784414887 (namba hii ni ya mmiliki wa nyumba iyo na sio dalali)
  15. misorgenes

    Natamani nikingo'e kibamia changu

    mi napenda vibamia.
  16. misorgenes

    Ardhi inauzwa

    kijiji cha isipi
Back
Top Bottom