Natamani nikingo'e kibamia changu

ungeomba msaada kistaarabu ungepungukiwa nini? tujaribu kuwa wema kwa wenzetu sometimes, neno lako moja linaweza kujenga au kubomoa
 
Tafuta anayependa vibamia.

Ukikosa kafanye plastic surgery kukikata kabisa.
 
pole sana kiongozi, lakini unapaswa kujiamini kwa sababu maumbile hayakosolewi, wakati wewe unalalamika kibamia
kuna wenzio wanalalamika Jogoo hawiki, so kama vipi Mshukuru kwa kila jambo. You are still a man and you deserve family.
 
kweli mwenye akili hajigambi asante mkuu kwa ushauri mzuri
 
ungeomba msaada kistaarabu ungepungukiwa nini? tujaribu kuwa wema kwa wenzetu sometimes, neno lako moja linaweza kujenga au kubomoa

uko sahihi mkuu sometimes ugeni kwenye haya majukwaa ni shida na namna ya kuleta wazo lako lieleweke mbele ya wadau kuna ttzo kidogo anyway nimekupata mkuu next time i will try my best nipunguze ukali wa maneno thnx.
 
Oa, ndoa ni stara, tunaambiwa katika dini yetu waislam .. Mnastiriana ikiwa pamoja na aibu.. Lakini pia angalia unapooa .. Waislam tunaangalia mambo 4 kabla ya kuoa hatubebi tu ili kupata mke mtakaye sitiriana

akhsante shehe wazo zuri ndugu yangu nitalifanyia kazi
 
Wakina dada wanasema kibamia kikiwa kifupi alafu kinene eti ndio kizuri.

Kama wewe unaona kweli ni tatizo nenda kwa wataalamu wa Afya.

Pia angalia lifestyle lako la vyakula.
 
Back
Top Bottom