Kwa wakazi wa iringa mjini, nauza maziwa fresh na mgando

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
Habari zenu! kwa wale wakazi wa iringa wenye migahawa pamoja na matumuzi ya nyumbani, nauza maziwa ya ng'ombe fresh na mgando.

Lita moja ya maziwa freshi tshs 1,500/= na maziwa mgando lita moja tshs 2,000/=. Karibuni sana tuongee biashara.
 
Habari zenu! kwa wale wakazi wa iringa wenye migahawa pamoja na matumuzi ya nyumbani, nauza maziwa fresh na mgando. lita moja ya maziwa freshi tshs 1,500/= na maziwa mgando lita moja tshs 2,000/=. karibuni sana tuongee biashara.
maziwa ya nini nguruwe ,ngómbe ,mbuzi au weka wazi tujue
 
Habari zenu! kwa wale wakazi wa iringa wenye migahawa pamoja na matumuzi ya nyumbani, nauza maziwa ya ng'ombe fresh na mgando. lita moja ya maziwa freshi tshs 1,500/= na maziwa mgando lita moja tshs 2,000/=. karibuni sana tuongee biashara.
Mcheki asas hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom