Anatafutwa kijana wa Sales, iringa mjini

misorgenes

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Ni kiwanda kidogo kinazalisha bidhaa na kusambaza. Kwaiyo anatafutwa kijana mwenye ushawishi wa kuuza bidhaa pamoja na uzoefu wa kazi za mauzo. Malipo kwa commision ila utapewa usafiri au nauli siku utakazokuwa kazini. Njoo inbox tuongee zaidi.
 
Boss niko apa
 
Back
Top Bottom