Search results

  1. M

    Lowassa chukua hatua ya kusafisha dhamira za watu-(wanaukawa) kuokoa jahazi

    Mhe.Lowassa kwa barua yangu hii fupi nashauri wewe mwenyewe na sikupitia wapambe uchukue hatua ya kusafisha dhamira ya wengi waliokuita Fisadi ilikuokoa jahazi ya safari ya matumaini kupitia UKAWA. Kuchelewa kwako kuchukua hatua za busara ,za kiungwana au hata za kisanii kuelekea 25.10.2015...
  2. M

    The non-citizens (employment regulation) act, 2014

    Tunahitaji uwazi kwa spedi ya supersonic. Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge idara ya IT-acheni kuhujumu Nchi. Taarifa na Doc muhimu kama hizi zinapokuwa haifunguki au hakuna kabisa ni kulihujumu Nchi. Bill no: 2-2014-2 Introduction date: 31...
  3. M

    Matrix-chenge:katiba pendekezwa 2014

    YALIYOMO KWENYE RASIMU YA TUME YALIYOMO KWENYE RASIMU INAYOPENDEKEZWA UAMUZI WA KAMATI YA UANDISHI SURA YA TATU SURA YA NNE Sura hii imepangwa upya MAADILI NA MIIKO YA UONGOZI NA UTUMISHI WA UMMA MAADILI NA MIIKO YA...
  4. M

    Mct na hukumu dhidi ya raia mwema.

    Hatua hii/uamuzi huu kwa mtazamo wangu una walakini kwa kadri stori hii ilivyoandikwa na Raia Mwema kwenye toleo husika. Naanza kupata wasiwasi kuwa pengine kuna harufu ya matumizi mabaya pesa kufikia uamuzi huu. Labda wataalamu wa Jf munaweza kusaidia kuongeza uelewa katika jambo hili...
  5. M

    The referendum act, 2013-hatua moja kwenda katiba mpya:

    Ewe Mtanzania una maoni gani? Unadhani Mbunge wako asimamie eneo lipi kwenye Msawada huu? Mimi kabla sijaingia kwenye mswada wenyewe ni hoja moja kwa Mbunge wangu na wengine kwa ujumla. Hii kitu kinaitwa Gazette huku mitaani na hata kwenye maduka ya Vitabu ni vigumu kupatikana hivyo Kanuni na...
  6. M

    Ziara ya mabalozi wa EU gereza la Ukonga -wizara ya mambo ya nje mpo au mmelala ?

    Nani hapa ndiye mwenye Ofisi/Bosi wa Taasisi? Hivi kweli mabalozi hawa wanaweza kwenda magereza bila kutoa taarifu Wizara husika ,huku ni kuzalilishana ! Wataalamu wa protokali ebu tupieni maneno/maoni hii picha.
  7. M

    Kodi hizi kwa nia njema ?- busines licence regulation -2011

    Wadau wa maendeleo na jamii kwa ujumla mnakaribishwa katika uchambuzi wa Mlolongo wa kodi hizi inayoanza rasmi mwaka huu wa Fedha 2013 na itakuwa zoezi la kila mwaka. Kila halmashauri itakuwa ikikusanya Kodi hii ambayo kimsingi ilikuwa imefutwa awali 2005/2006 kama siajakosea. Je kupitia Kodi...
  8. M

    Tanganyika nchi yangu:

    Kwa watanganyika wote ni muda muafaka kuanza mchakato wa KATIBA RASMI YA NCHI -REPUBLIC OF TANGANYIKA Michezo hii ya wanasiasa wanaofaidika kwa Jasho ya Wavuja Jasho wa Tanganyika na kuwabebeshwa mizigo isiyoisha ufike muda na tuutue. Hoja ya Kwanza Kikao cha Kwanza la Bunge la Tanganyika ni...
  9. M

    Hapana kwa baadhi ya mambo ndani rasimu ya katiba mpya-2103

    Kusema kweli Rasimu ya Katiba mpya ina mapungufu mengi ukiacha kosa la msingi la kuleta serikali Tatu lakini kuna hili ambalo limefichwa ndani ya hizo kurasa 240.Watanganyika na Wazanzibari wanatakiwa kupitia kipengele moja baada ya nyingine. Tunarudishwa kule kule kupitia mlango wa Nyuma...
  10. M

    TBC CHONDE CHONDE MTUTENDEE HAKI KWA KURUSHA LIVE-Azimio la Arusha kuzizima Chuo Kikuu Dar

    Mjadala kama huu ukipita bila watanzania wengi kusikia na kushuhudia moja kwa moja basi hakuna umuhimu wa kuangalia inayoitwa televisheni ya Taifa. Prof. Shivji kuvaana na ‘mbaya’ wa Raila...
  11. M

    Mpango wa maendeleo tz -2013/2014 je kuna uhalisia ndani yake ?

    Ndugu wana JF natumai Pasaka imeisha salama kwa wengi wetu na kwa wale waliopitiwa na Ibilisi mwenyezi Mungu awape nguvu na kushinda matatizo. Kwa wale wenye kupenda kuona na kufahamu nini kitatokea au kujiri ni vizuri kusoma mpango huu na kujipanga. Lakini pengine kila mmoja wetu anaweza...
  12. M

    Milipuko ya mabomu yasikika karibu na kisiwa cha sinda-kigamboni

    Katika hali isiyo ya kawaida milipuko mizito mitatu imesikika asubuhi hii kati ya saa tatu hadi saa nne huku moshi wa wastani ukionekana nyuma ya kisiwa cha Sinda pwani ya Kigamboni. Tukio hili linatokea huku hakuna taarifa yoyote toka JWTZ kama kuna mazoezi yoyote yanaendelea pwani ya...
  13. M

    Misaada; Mjane wa Daudi Mwangosi

    Kwangu mimi Utamaduni huu wa kuweka haki pembeni (Sheria)na kufarijiana kwa pesa hautatufikisha mbali na zaidi utatuletea yanayoendelea Somalia na kwingineko.Na shawishika kuwa bila kuwaona mbele ya Hakimu/mahakama kundi lote la wale askari waliopo sehemu ya tukio ikiwa pamoja na RPC wa...
  14. M

    Uamuzi sahihi kufunga machimbo ya mchanga dsm!

    Wana JF mliokaribu na maeneo hayo mtujuze wamiliki wa machimbo yanayotarajiwa kunufaika na utaratibu huu ,isije tokea kuna mikono ya Vigogo.Kwani uharaka wa jambo hili unaleta walakini katika uamuzi huu wa Kamishna. Kamishna alitakiwa kuwa tangazia wote wanaochimba Mchanga kwenye maeneo...
  15. M

    CONSTITUTIONAL PRIVILEGES OF THE NEC; BILA AIBU WANAPENDA WASOMEKE HIVI; Legal Powers

    Source;NEC Web 1. 1.In discharging its functions in accordance with the provisions of the Constitution, the National Electoral Commission shall not be obliged to comply with orders or directions of any person or any Government department or the views of any political...
  16. M

    Is NSSF future in danger!

    In the matter of searching for information’s and other interesting staff, I come across with this info in NSSF web page.However the line bolded and highlighted with blue colour make me doubt if this guys are serious with the members money.Nini maoni yako juu ya aina hii ya miradi. Insurance...
  17. M

    Kamati ya bunge - hadidu rejea issue ya Jairo

    Up dates: Makinda alisema kamati hiyo itafanya kazi kwa kuongozwa na hadidu tano za rejea ambazo ni kuchunguza utaratibu uliobainika wa kukusanya fedha kwa ajili ya kukamilishwa kwa uwasilishaji wa Hotuba za bajeti za wizara bungeni na kwamba, hadidu hiyo ya kwanza itakuwa na vipengele vitatu...
  18. M

    Nyerere na Matatizo

    "NDUGU wana CCM:Viongozi wabovu wenye mioyo ya kuku,hulizwa na matatizo;bali watu (viongozi)mathubuti, wenye mioyo thabiti,hukomazwa nayo .........hatima ya Nchi yetu ni jukumu letu.Kwa pamoja tunaweza kuisaidia Nchi yetu kusonga mbele kuelekea kwenye haki zaidi na usawa zaidi kwa Watanzania...
  19. M

    Kigamboni planning authority

    wana Jf. Kwa heshima kubwa naomba msaada kwa yeyote mwenye kuona ,kufahamu kuhusu rasimu ya Mamlaka hii. Mimi ni mdau mwathirika na mradi wa Mji-Mpya wa Kigamboni. Kuna hii habari ya kuundwa kwa mamlaka ya kusimamia huu mradi kama ilivyokuwa CDA(Dodoma) Hivyo wadau waathirika tunafaa...
  20. M

    Tahadhari kwa chadema:

    Hii,tetesi kuwa kamati ya chama imetengua Uamuzi wa Wabunge wake ambao ni wakilishi wetu tuliowapa mamlaka ya kutuwakilisha na kutusemea ni wahatari kubwa na unataka kutuharibia Chama. Napenda kutoa tahadhari kuwa uamuzi wowote wa kwenda kinyume na maamuzi ya kura za wabunge wa Chama kwa sasa...
Back
Top Bottom