Nyerere na Matatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere na Matatizo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mp Kalix2, May 19, 2011.

 1. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,212
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  "NDUGU wana CCM:Viongozi wabovu wenye mioyo ya kuku,hulizwa na matatizo;bali watu (viongozi)mathubuti, wenye mioyo thabiti,hukomazwa nayo .........hatima ya Nchi yetu ni jukumu letu.Kwa pamoja tunaweza kuisaidia Nchi yetu kusonga mbele kuelekea kwenye haki zaidi na usawa zaidi kwa Watanzania wote".JK Nyerere 22/10/1987(Mkutano Mkuu wa Tatu wa Taifa CCM) Source Raia Mwema-18-24 -Mei 2011.
  Nimeipenda naamini inafikisha ujumbe moja kwa moja.(Mhe.Pinda upo!)
  Somo kwa viongozi waliopo na wajao.
   
Loading...