Search results

  1. mwamajinja mapunga

    Makonda, uzuiaji shisha umefunga breki?

    Habari za hapa waungwana, Katika kupitapita whatsapp nikaona video inayosambaa ikimwonesha dada mmoja kada wa Chama cha Mapinduzi na mwigizaji, Irene Uwoya akivuta Shisha hadharani bila hofu. Je Makonda nguvu zake za kuzuia Shisha zimegonga mwamba? Naona watu wanajivutia peupe tuu. Makonda...
  2. mwamajinja mapunga

    Masoud Kipanya amkumbuka Lowassa

    Habari ya Jumanne ya leo, kama kichwa cha uzi kinavyosema. Masoud Kipanya maarufu kama KP wa Clouds FM na Mchoraji wa Cartoons amkumbuka Lowassa kupitia andiko lake hasa Katuni kwa wanaomuelewa ni issue ya kwenda kutonesha kidonda wahanga wa Tetemeko Kagera kwamba hawatolipwa wala kujengewa...
  3. mwamajinja mapunga

    Polisi wavamia mtaa wa Njaro Temeke muda huu

    Habari watu wa Mungu muda huu naandika huu uzi hapa limekuja karandika la polisi yaani Defender wakiwa wamevalia kishari sana wakiwa na sihala za Moto mtaa wa Njaro Temeke karibu na Kota za Polisi hapa za TAZARA kuna kauwanja hivii.... Nipo maeneo haya kuna fundi tumeleta lori hapa limesumbua...
  4. mwamajinja mapunga

    Baada ya kumwambia ukweli hapigi simu wala SMS

    Habari zenu waungwana, Mimi kama mtumiaji mzuri wa Facebook alitokea binti mmoja kunipenda sana toka facebook. Akatuma request nika accept basi within 3 minutes akaja inbox mambo nikajibu poa, akaandika i like the way you are.... Nikajibu thanks much. Baadae nikamuuliza how you you like the...
  5. mwamajinja mapunga

    Naomba msaada picha zangu.

    Habari wadau naomba msaada picha zangu nikipiga kwa simu kuzielekeza ziwe saved kwa memory card zinatoa hyo rangi kwa picha, lkn nikisave kwa phone memory zinakaa sawa tatizo ninini??? Msaada please
  6. mwamajinja mapunga

    Simu yangu ina tatizo la kuhifadhi picha

    Habari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama wanakuletea vimaneno kuwa can not generate thumbnails. Ntaweka hapo chini sample yake maana imefika hatua...
  7. mwamajinja mapunga

    Mwenzenu yalonikuta kwenye simu yangu.

    Habari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama wanakuletea vimaneno kuwa can not generate thumbnails. Ntaweka hapo chini sample yake maana imefika hatua...
  8. mwamajinja mapunga

    KYELA: Madiwani wazichapa kavu kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wakipinga ulaji pesa

    Na Amos Msuli toka Kyela. MADIWANI watatu katika halmashauri ya wilaya ya Kyela mkoani Mbeya,kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Kaini Mwakanyemba,Tukupasya Kalinga na Ayubu Mwaisobwa (Mangoloto) wamesimamishwa kuhudhuria vikao vitatu mfururizo pamoja na kutochukua posho na...
  9. mwamajinja mapunga

    Nahitaji Kioo ch Laptop Acer Msaada kwa aliyenacho.

    Habari waungwana nina shida na kioo cha Laptop Acer model P 253e saiz ya kioo ni inch 15.6 LED/LCD used cha bei nafuu, maana nimejribu kuulizia bei zake vipya mmh na maisha haya hapana labda iwe used wadau ni Pm tuwasiliane tafadhali au acha namba ntakutafuta...asanteni
  10. mwamajinja mapunga

    Kijana Edgar Atubonekisye wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere acha kuwachezea watoto wa wenzio...

    Katika thread hii si kwa minajili ya chuki bali kwa onyo dogo tu kwa ndg yetu ayafanyayo..... ngoja nianzie hapa ......... ngriiiiiiiii............ Katika msimu huu wa sikukuu nimeamua kwenda kyela kujipumzisha kidogo likizo na kulingana na majukumu nilonayo nikaona ni vema niende Kyela...
  11. mwamajinja mapunga

    Madudu ya Dr. Mwakyembe jimboni kwake Kyela haya hapa yamo ya fitna kali sana ikiwemo kuua miradi

    Wadau hii nimeikuta mahali si uvumi bali ni ya kweli mumjue huyu mtu alivyo..... na kwa jinsi anavyowadanganya wanakyela atakuwa WAZIRI MKUU WA MAGUFULI. muone kama akiwa waziri mkuu kwa haya nafikiri ataongeza unyama endelea mwenyewe hapa chini..... wengi hamtaamini hata kidogo lkn huyu siasa...
  12. mwamajinja mapunga

    Kyela, Mbeya: Dr. Mwakyembe atuamia madaraka vibaya kwa Polisi

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Dr. H.G. Mwakyembe amekuwa ni mtu anayetumia madaraka yake na uwaziri wa Afrika mashariki kwa kuwapigia polisi simu na kuandamana nao kwenye shughuli za chama cha mapinduzi...... haya yamesemwa na mtu ambaye si vizuri kumtaja kwa kuwa OCD naye kalalamikia hiki...
  13. mwamajinja mapunga

    Wananchi wa Kyela wasema sasa basi CCM na Mwakyembe, sasa na Abraham Mwanyamaki (CHADEMA)

    Katika uzinduzi wa kampeni za CHADEMA/UKAWA uliofanyika tar. 5/9/2015 Kyela mjini maeneo ya viwanja vya mchaga Kyela wenyewe huviita viwanja vya SUGU... Ambapo Wananchi wa Kyela walimpokea shujaa wao na tegemeo kijana makini ndg Abraham Mwanyamaki kwa nderemo na vifijo, shamra shamra za ngoma...
  14. mwamajinja mapunga

    Abraham mwanyamaki ndiye tishio kwa ccm kyela hakika safari ya uhakika kyela chini ya ukawa.

    Habari wadau, bila kuficha kinachoendelea katika wilaya ya kyela ni ishara tosha kuwa wananchi walishachoshwa na ahadi hewa za mbunge wao Dr. Harrison Mwakyembe kwa ulaghai wake umesababisha wananchi kuamua na kufanya maamuzi mazito haswaaaa.. na hii imejidhihirisha katika kura za maoni...
Back
Top Bottom