mwamajinja mapunga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,074
- 609
Habari ya Jumanne ya leo, kama kichwa cha uzi kinavyosema. Masoud Kipanya maarufu kama KP wa Clouds FM na Mchoraji wa Cartoons amkumbuka Lowassa kupitia andiko lake hasa Katuni kwa wanaomuelewa ni issue ya kwenda kutonesha kidonda wahanga wa Tetemeko Kagera kwamba hawatolipwa wala kujengewa. Angekuwa Lowassa asingesema haya hata kama asingewasaidia wahanga.