Baada ya kumwambia ukweli hapigi simu wala SMS

mwamajinja mapunga

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Messages
1,083
Likes
516
Points
180
mwamajinja mapunga

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2014
1,083 516 180
Habari zenu waungwana,

Mimi kama mtumiaji mzuri wa Facebook alitokea binti mmoja kunipenda sana toka facebook. Akatuma request nika accept basi within 3 minutes akaja inbox mambo nikajibu poa, akaandika i like the way you are.... Nikajibu thanks much. Baadae nikamuuliza how you you like the way iam ....

Kaingilishi kamo nikawa namjibu tuu, badae akanaitumia namba yake nami nikamtumia, ila mabinti qa facebook nishawahi watafuna kama watano hivi... Basi mie nikaona bila hiyana nimpe namba basi akaniona wasap akaja wasap tukachat mengi sana binti mwenyewe wa Kabila la Wamalila toka Mbeya huko ila anafanya kazi Singida Wilaya ya Mkalama... Kazi yake siitaji.

Basi baadaye akawa ananitumia romantic messages lkn muda huo alikuwa mbeya mjini alinambia yuko likizo... Basi nikamwambia niko Dar mimi huku Ubungo ndiko nnakoishi.....

Basi safari ya Dar ikaiva....
Alipokuja dar siku alofika akawa anatamani tuonane the next day nikakataa nikamwambia the second day upumzike kwanza..akakubali siku ilofuata tukaambizaba tuende Beach Tukakutane kule tukapige mastori basi nikajaza mafuta ka RAV 4 Kangu huyo mkuku mkuku..

Nikampitia maeneo ya mawasiliano pale nikambeba one way To beach(jina kampuni) Basi baada ya kufika beach tukanunua machips kule na vinywaji tukala sana, basi ukafika mdavwa story tukaongea mengi sana, basi akaanza uchokozi akawa anataka kunikiss nikawa nagwaya nikaona ataniona wakuja nikapokea busu lake mwororo, tukapiga mapicha mengi tukila mate, basi badae ndio nikaanza kumwambia biography yangu...

Akachukua simu yangu akaanza kupekua picha weee akiona picha ya mdada anauliza huyu nani? Mara akaendelea hivo hivo ikafika sehemu akaona picha nyingi za mtoto wa kiume akiwa na mama yake.. Akahisi kitu. Huyu mtoto qa nan nikajibu we maliza kuangalia ntakuambia... Badae nikaona analoose tension nikaona nimweleze ukweli kwamba bwana mi nna mtoto na mke lkn tumegombana so now hayupo kwngu kabisa.

Nikaona mtu anabadilika sana kuliko kawaida... Nikamwambia mengi hakuelewa lolote... Mwisho nikamwambia mda umeenda tuondoke njia nzima alikuwa mnyonge sana. Kufika ubungo nikamsindikiza mpaka maeneo ya mawasiliano kwenda kwao... Toka hapo hata wasap hanitafuti aisee, sms hakuna, wala calls...

Ambacho hakiniumizi alinianza yeye kunipenda kwa sura wa kawaida so mkali hata anaonekana kama mtu wa dini kiaina lkn mambo haya anayapenda... Toka hapo hata sina hamu nao nikamblock fb nikablock wasapp nikafuta na namba zake nikaona kero tuu... Mwishowe mke wangu nimeamua kusamehe wiki ijayo anakuja...
 
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
7,482
Likes
17,637
Points
280
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
7,482 17,637 280
Lengo lako ni nini sasa?
Mambo ya fb bhana...
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,791
Likes
15,199
Points
280
Age
35
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,791 15,199 280
Utafiti wangu ulishabainisha pasi na kuacha shaka kuwa mwanamke anayependa kuvaa migauni mireefu kama jini au suruali zisizo bana, most likely ana miguu myembamba...
 
GUI

GUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
1,854
Likes
1,289
Points
280
Age
32
GUI

GUI

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2016
1,854 1,289 280
Habari zenu waungwana,
Mimi kama mtumiaji mzuri wa Facebook alitokea binti mmoja kunipenda sana toka facebook. Akatuma request nika accept basi within 3 minutes akaja inbox mambo nikajibu poa, akaandika i like the way you are.... Nikajibu thanks much. Baadae nikamuuliza how you you like the way iam ....

Kaingilishi kamo nikawa namjibu tuu, badae akanaitumia namba yake nami nikamtumia, ila mabinti qa facebook nishawahi watafuna kama watano hivi... Basi mie nikaona bila hiyana nimpe namba basi akaniona wasap akaja wasap tukachat mengi sana binti mwenyewe wa Kabila la Wamalila toka Mbeya huko ila anafanya kazi Singida Wilaya ya Mkalama... Kazi yake siitaji.

Basi baadaye akawa ananitumia romantic messages lkn muda huo alikuwa mbeya mjini alinambia yuko likizo... Basi nikamwambia niko Dar mimi huku Ubungo ndiko nnakoishi.....

Basi safari ya Dar ikaiva....
Alipokuja dar siku alofika akawa anatamani tuonane the next day nikakataa nikamwambia the second day upumzike kwanza..akakubali siku ilofuata tukaambizaba tuende Beach Tukakutane kule tukapige mastori basi nikajaza mafuta ka RAV 4 Kangu huyo mkuku mkuku..

Nikampitia maeneo ya mawasiliano pale nikambeba one way To beach(jina kampuni) Basi baada ya kufika beach tukanunua machips kule na vinywaji tukala sana, basi ukafika mdavwa story tukaongea mengi sana, basi akaanza uchokozi akawa anataka kunikiss nikawa nagwaya nikaona ataniona wakuja nikapokea busu lake mwororo, tukapiga mapicha mengi tukila mate, basi badae ndio nikaanza kumwambia biography yangu...

Akachukua simu yangu akaanza kupekua picha weee akiona picha ya mdada anauliza huyu nani?? Mara akaendelea hivo hivo ikafika sehemu akaona picha nyingi za mtoto wa kiume akiwa na mama yake.. Akahisi kitu. Huyu mtoto qa nan nikajibu we maliza kuangalia ntakuambia. Badae nikaona analoose tension nikaona nimweleze ukweli kwamba bwana mi nna mtoto na mke lkn tumegombana so now hayupo kwngu kabisa.

Nikaona mtu anabadilika sana kuliko kawaida... Nikamwambia mengi hakuelewa lolote... Mwisho nikamwambia mda umeenda tuondoke njia nzima alikuwa mnyonge sana. Kufika ubungo nikamsindikiza mpaka maeneo ya mawasiliano kwenda kwao... Toka hapo hata wasap hanitafuti aisee, sms hakuna, wala calls...

Ambacho hakiniumizi alinianza yeye kunipenda kwa sura wa kawaida so mkali hata anaonekana kama mtu wa dini kiaina lkn mambo haya anayapenda... Toka hapo hata sina hamu nao nikamblock fb nikablock wasapp nikafuta na namba zake nikaona kero tuu... Mwishowe mke wangu nimeamua kusamehe wiki ijayo anakuja...
Kwa umri wako bado unamambo hayo ya fb? Ndio maana mke aliondoka
 
scorpio me

scorpio me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
5,172
Likes
5,947
Points
280
scorpio me

scorpio me

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
5,172 5,947 280
Ukitakata story yako nisiitilie maanani taja facebook...mptyuuu
 
Roger Sterling

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Messages
11,157
Likes
9,763
Points
280
Roger Sterling

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined May 10, 2015
11,157 9,763 280
Haha nimependa jinsi ambavyo umetupa details zote mpaka za gari unayomiliki, ila jina la beach mliyoenda umeweka kapuni. Pengine hujataka kuwa promo.

Anyway, xtori fln amaizing. Ukipata nyingine uxixite.
 
D

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
2,484
Likes
2,408
Points
280
D

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
2,484 2,408 280
Kuna mitandao mingine imelaaniwa, yaani utakuta unamtongoza mtu ANA kwa ANA wala hakutaki, ila ukimtafuta kupitia mitandao fulani ukamtongoza....yaani anakuwa mlaini kama MAINI!. Mitandao kama FB Whatsap etc nadhani imelaaniwa tena aliyeilaani ni mwanaume.....
 
Forum statistics

Threads 1,272,321
Members 489,918
Posts 30,447,379