Naomba msaada picha zangu.

Naomba msaada picha zangu.

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
1,074
Reaction score
613
Habari wadau naomba msaada picha zangu nikipiga kwa simu kuzielekeza ziwe saved kwa memory card zinatoa hyo rangi kwa picha, lkn nikisave kwa phone memory zinakaa sawa tatizo ninini??? Msaada please

8f03457b68895f57583cb26204cbcdbe.jpg
 
simu ina megapixel ngapi? memory card ni class ngapi? ni original?
 
1. Memory card inaweza kuwa ina bad sectors jaribu kufanya file system repairing na cmd kwa sababu soon itaanza data corruption.
2. Memory card inashindwa kuwrite data kutokana na speed ndogo. Angalia kama inaanzia class ten angalau speed ya kuwrite data itakuwa ni kubwa.
3. Pia, make sure hakuna resources nyingi zinazotumia sd card yako. mf. kama umeset sd card iwe primary storage ni lazima kitu kama hiki kitatokea kwa sababu speed ya kuwrite data itapungua endapo utakuwa unatumia sd card kama itakuwa primary storage.
 
Back
Top Bottom