Search results

  1. Mashimba Son

    Awamu ya 6 ya Rais Samia Suluhu: Ni upi mustakabali wa 'wanasiasa pendwa' wa Hayati Magufuli?

    Kila serikali mpya inapoingia madarakani inakuwa na mtaji wake. Huo ni msemo maarufu wa wataalamu wa sayansi ya siasa na utawala bora kote duniani. Kwamba utawala mpya unapoingia madarakani unapenda kufanya kazi na aina ya viongozi unaowataka iwe kwa kuibua wapya au kuchagua miongoni mwa...
  2. Mashimba Son

    Nimeshindwa Kulala Hospitali gani nikapime Corona?

    Habari za Usiku huu ndg zangu, Leo hali yangu siyo nzuri sana kwani naumwa mafua makali yaliyo ambatana na kipanda uso, paji lote la mbele ya Uso linauma sana, nimeshindwa kulala kabisa. Toka saa nane hadi sasa nipo macho. Mimi huwa naumwa mafua mara kwa mara lakini hii yamezidi sana kwani...
  3. Mashimba Son

    Kuna maswali najiuliza nashindwa pata majibu, Tanzania tunakosea wapi?

    Habari wanajukwaa, Mimi ni kijana mwenye elimu ya kawaida tu na ni raia mchakalikaji hapa nchini kuna maswali nakuwa najiuliza nashindwa pata majibu hivi inakuwaje.? 1. Nini kazi ya wizara ya Aridhi,Maafisa aridhi wa Mikoa na wilaya katika taifa letu la Tanzania, maana kwa mtazamo wangu sioni...
  4. Mashimba Son

    Picha nne za Chuo Kikuu cha Julius Nyerere University of Kankan

    UNAPOAMBIWA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE NI BABA WA TAIFA LA TANZANIA UWE UNAELEWA. 1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe. 2.Ni Raisi wa kwanza kuhama Ikulu na kwenda kuishi kwenye...
  5. Mashimba Son

    Paul Makonda alikuwa wapi Mei Mosi kwa mkoa wa Dar?

    Leo ilikuwa siku Ya wafanyakazi dunia ambapo kitaifa ilifanyika mkoani Kilimanjaro Mgeni rasmi akiwa mh Raisi Sehemu nyingine Wageni rasmi walikuwa wakuu mikoa yao Lakini mkoa wa Dar es salaam Mgeni rasmi ni mke wa spika mstaafu Samwel sitta bi Magreth sitta Hii inamanisha nini kwa Bashite...
  6. Mashimba Son

    Kuna watu wanamishahara mikubwa duniani

    Kampuni ya nishati ya BP imeamua kumpunguzia mshahara mkurugenzi wake Mkuu kwa 40%,ambapo alikuwa anapokea us $19,000,000/= kwa mwezi, kutokana na wanahisa wa kampuni hiyo kulalamikia kiwango hicho sababu saiz inapitia katika hali ngumu Ya kuporomoka kwa biashara yao. Nimejaribu kukokotoa kwa...
  7. Mashimba Son

    Sikudhani.R Mndunu na Gregory.F. Tarimo vitambulisho vyao vimepatikana

    Wahusika hapo juu vitambulisho vyao vimeokotwa vipo Serikali ya mtaa wa Wazo,wafike wakachukue na kama mtu anawafahamu awape taarifa hii. GREGORY F TARIMO Amejiandikishia shule ya Cambridge Mtaa wa TPDC uliopo kata ya Mikocheni. SIKUDHANI R MNDUNU Amejiandikishia shule ya Msingi KUNDUCHI B...
  8. Mashimba Son

    Share this video with friends

    I'd like to share this video. TB Joshua and Magufuli: THE PROPHET and THE PRESIDENT! Powered by TubeMate (TubeMate YouTube Downloader 2.2.9 - Official Website)
  9. Mashimba Son

    Aliyemuweka rehani ndugu yake Uarabuni afikishwa Mahakamani

    Aliyemuweka rehani ndugu yake amepandishwa leo mahakamani na kesi itaendelea tena tarehe 17 August. Mtuhumiwa karudishwa rumande...!! Chanzo:- Azam news
  10. Mashimba Son

    Msaada wa HP yangu

    HP yangu laptop elite book840 haisuport lain ya ttcl eti inanidai ussd code oakin voda na tgo natumia vizuri tu.. NB;- hii laptop inasehemu ya kuchomeka lain ya simu kwa ajili ya network....!!
Back
Top Bottom