Sikudhani.R Mndunu na Gregory.F. Tarimo vitambulisho vyao vimepatikana

Mashimba Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,123
1,386
Wahusika hapo juu vitambulisho vyao vimeokotwa vipo Serikali ya mtaa wa Wazo,wafike wakachukue na kama mtu anawafahamu awape taarifa hii.

GREGORY F TARIMO
Amejiandikishia shule ya Cambridge Mtaa wa TPDC uliopo kata ya Mikocheni.

SIKUDHANI R MNDUNU
Amejiandikishia shule ya Msingi KUNDUCHI B Mtaa wa TEGETA kata ya KUNDUCHI.

Rai kwa tume ya uchaguzi vitambulisho viwekewe namba ya simu.
Rai kwa Wananchi Ukipoteza/ukiokota kitambulisho vipelekeni kituo cha polisi/serikali ya Mtaa
au tembelea ofisi hizo kuangalia kama vimepelekwa huko.
IMG_20170116_130409[1].jpg
 
Back
Top Bottom