Search results

  1. titimunda

    Huu ndiyo utaratibu wa kuondoa ukomo wa Urais kwenye katiba ya JMT ya 1977

    Alie kwa lipi ilhali na yeye alikaa madarakani zaidi ya miaka 20
  2. titimunda

    Mitandao ya simu, vinga'amuzi igeni Tanesco kwa faida ya umma, mawaziri na regulatory authorities tupeeni macho

    False advertisement,hivi sheria zetu hazina vipengele vinavyoruhusu kuwa sue?
  3. titimunda

    Msaada: Naongea sana tena kwa haraka, naichukia sana hali hiyo

    1.penda kuwa msikilizaji,tambua kuwa wenzio pia wana yakusema na kuna ya kujifunza kwayo 2.Unapozungumza na mtu/watu hakikisha mnazungumza kwa mtindo wa majadiliano,na sio hutuba,yani unazungumza kisha unaapa nafasi wengine nao wazungumze. 3.Fanya yoga,meditation na mazoezi ya pumzi,take a deep...
  4. titimunda

    Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

    Wangazija sio wageni bongo,wapo hapa kabla hata ya baadhi ya makabila ya kibantu.
  5. titimunda

    Na ajabu katika matumizi ya awamu ya tano

    Inaitwa Chukua Chako Mapema,na vile mhula wa pili ushakuwa hausomeki,haina budi rumbesa ijazwe chapchap.
  6. titimunda

    Muhimbili: Rais Magufuli awatembelea na kuwapa pole majeruhi wa ajali ya moto Morogoro

    We see beyond the facade,beyond the politricks and the polifix.
  7. titimunda

    Mufti wa Tanzania: Bakwata haitavumilia kuvunjiwa heshima wala kunyanyaswa

    Huyo mufti yuko fit kweli kweli kwenye ulozi,nyumba anayoishi ilipokamilika walikuwa wanapishana washirikina wenzie kutoka kila pande kuja kuiwekea kinga. Bakwata ni chombo cha serikali na hakuna muislamu yoyote anayejitambua anayeweza kuwachukulia siriaz.
  8. titimunda

    Dah Jamaa ana clip zote za Mazungumzo, Yaan anachagua amsikilize nani aache nani kama Tamthiliya

    Na ya jesca pia,shoboka upelekwe study tour ununio.
  9. titimunda

    Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

    Ndicho kinachotaka kufanyika hicho.
  10. titimunda

    Leo ni TBT ...nyimbo gani unasikiliza hapo ulipo

    Barington levy - black rosses Buju banton -driver Capleton - cant sleep at night Kaoma- lambada .....
  11. titimunda

    Bei ya sigara mtaani kwako ipoje?

    Mbona simpo tu badala ya kununua sigara,nunua tumbaku ya jumla supermarket/kokote ipatikanapo na rizla nyonga vuta.
  12. titimunda

    Mfanyabiashara, raia wa Kenya anayeishi nchini, Raphael Ongangi apatikana akiwa Mombasa nchini Kenya

    Mipaka yetu na nchi jirani haiko tight kama unavyodhani,kuingia na kutoka ni easy,wala huhitaji kuwa nguli/mjuvi.njia za panya zipo kama zote.
  13. titimunda

    Unyonyaji wa Vodacom umekithiri

    Siku zote kampuni kubwa za kutoa huduma zinapotandikwa mafaini ama makodi anayelipa kodi hizo ni mlaji
  14. titimunda

    Air Tanzania Revives Dar Johannesburg flights, full board.

    Inasemekana wenye hisa fastjet wameanza ku reciprocate figisu ilizofanyiwa kampuni yao na kina meko.
  15. titimunda

    Wakenya wazidi kuonja joto ya jiwe chini ya JPM.

    Tasnia ya magendo imengiliwa,unasafirishaje mzigo wote huo kwenye gari moja tena kwenye awamu hii.
  16. titimunda

    Tetesi: Prof Kitila Mkumbo ndiye hitaji la Wana Iramba kwa sasa

    Hahah aiseeh,waliomba radhi kwa barua,waraka,simu,fax ama barua pepe?,tusaidie nakala nasie tuipitie.
  17. titimunda

    Ukatae au ukubali; Wanaume tunaoshabikia kabumbu tunafuraha kuliko watu wengine wote.

    Sio nadharia chief,tupo tunaoziishi kwa vitendo,na sikumaanisha kuwa unakuwa umekaa tu.kuna vitu vinavyoleta/kuongeza furaha,mfano mie nafurahi/kuinjoy kuwa karibu na nature,treking,kuogelea,gardening,kuangalia landscapes za kuvutia,listening to uplifting/soothing music,adventure traveling etc...
Back
Top Bottom