Kinara wa dawa za kulevya Shikuba asafirishwa kwenda Marekani usiku

Shkuba alishakaaga jela kati ya irán au pakistan connection zake zote alizipatiaa akiwa jela huko

Ova
Ivi na mtoto wa liyumba nae si alidakwa na mzigo pia weenda wote kula bata US au
 
Ivi na mtoto wa liyumba nae si alidakwa na mzigo pia weenda wote kula bata US au
Mtoto wa lyumba bado Yuko jela lindi!hausiki na Issue ya shkuba mkuu ...
Mkuu unafikiri us watakula bata huko wanaenda kufichwaa

Ova
 
Mipango ya kutoroshwa kutoka Gereza la Lindi ilishakamilika ndo maana Gvt ukiona bora imalizane nae
 
Back
Top Bottom