Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,207
- 3,066
Sports 250...Embassy 300 zama zimebadilika....maji tutaita mma
Kwa Ras hapa stand af ana mzigo wa songea wahi upate stick yakovipi ganja unachukulia mitaa ipi na mimi nije nichukue???
stand ya wapi,ngoja nakuchek PM,tusimwage mchele kwenye kuku wengiKwa Ras hapa stand af ana mzigo wa songea wahi upate stick yako
Kuna jamaa alikaa karibu yangu kanisani ananuka sigara hatar nahisi alienda kuvutia chooni akazima kipisi akaweka mfukoni.
Imepanda aisee yaan sio poaHuku kwetu hali mbaya. Nipeni plan B wadau...
Uzi tayari
Aweke na majani ya mpapai yaliyokauka ni sigara tosha kabisaChukua kipande cha gazeti, viringisha kama Rizla vile halafu washa moto uvute.
Usitutusi wahisani wa kodi ndio sisiSigala iuzwe tu ata millioni 5 moja kwani? Inafaida gan?kuumiza vifua tu na kupoteza nguvu kazi ya taifa waongeze bei saaaaana wapunguze sukari.
Huku kwetu hali mbaya. Nipeni plan B wadau...
Uzi tayari
So funny hahahhahahaBora ungeongelea bhangi tungekuelewa. Nani anavuta sigara karne hii kama si wapiga debe na wanywa wanzuki? Watu tunakata issue za kimataifa hapa unatuletea upumbavu wa sigara? Kafue nguo za shule. Bwege wewe
Huku mkoani tushazoea ni 300, na ni adimu kimtindoEmbassy's 250
duh tunapigwa aisee.. sehemu nyingine wamekomaa winstoni ni 150Na Mimi ndo nipo mkoani na ninaziuza