Tena ulinzi wake uimarishe zaidi na zaidi maana maadui anao wengi sana ndani ya nchi
Bwana asipoulinda mji waliulindao ukesha bure.
Tena ulinzi wake uimarishe zaidi na zaidi maana maadui anao wengi sana ndani ya nchi
Nadhani kuna mtangulizi ambaye anajutia kumpisha. Ila aongeze zaidi ulinzi. Hata ikiwezekana, awaondoe wapishi abaki mama tu. Mijitu inayo washwa washwa isije mdhuru. ee Mola mpe maisha marefu na ujasiri zaidi hadi awakomeshe wezi wa keki yetu. Asiyaruhusu majizi kuzikimbiza nje ya nchi. Taifisha akaunti zao zote, hela tujengee reli mpya.
Nasikia jumapili ya leo alitakuwa kuwa Arusha kwenye kongamano sijui la diniWewe unasema nje ya Bara la Afrika??
Kwenda mkoani Morogoro tu hapo itakuwa shughuli!
Mungu amlinde mtukufu dhidi ya wenye roho mbaya wakikutaka hawakukosi hata ulindwe na majiniHivi unaamini kuwa hakuna mamluki?
Nakuhakikishia kuwa duniani hakuna usalama wa 100%
Nalog off
Mwanadamu aaminikiHao hao wanaomlinda wanaweza kuwa maadui pia
Kweli kabisaMwanadamu aaminiki
..ina maana hata wakati wa KAMPENI ataambatana na walinzi waliobeba MABUNDUKI huku wamenuna?
Kuwa serious achana na 'chai' hizo. Kwani mbona huyu kaenda Malawi ziarani usiku kaenda mganga
Chuki kwa lipi? Hakuna jambo linasonga hiyo chuki inatoka wapi? Zaidi wanaona inatisha tu kuharibu Taifa. Yani leo Wakina Msekwa wawe na wivu huku wakina Rostam ndio wazalendo wanaokunywa chai white house
Itakuwa hukuzaliwa wakati wa awamu zilizopita.Hivi Magufuli ulinzi wake ni mkali kushinda wa waliomtangulia?
Ndicho kinachotaka kufanyika hicho.Nahisi Mambo meengi yametengenezwa kuhalalisha Mambo mengine yafanyikee. Sidhani kama sio propaganda..its like give a dog bad name and kill it..
Tuliambiwa ulinzi wa namna ile ulikuwa zidi ya mabeberu walionyang'anywa kitumbua mdomoni, akina Acacia.Sijui kuhusu quantity au quality ya ulinzi lakini visibly ulinzi wa Magufuli unaonekana umezidi sana kwa watangulizi. Sikumbuki kuona watu na bunduki wakiwa na Kikwete
@Mzee Mwanakijiji, mbali na Ulinzi; hiki chama chetu kilikuwa na utaratibu mzuri wa kumpata "candidate" . Obviously ndiye at most akikuwa raia namba moja. Indeed. Zile sifa hazikuwa connected na ulinzi kabisa. Tunakwama wapi?Kama Mambo ndani yako hivi Tena kwa watu wa karibu...kwa hawa tu tunaowajua..itakuwa vipi kwa Wale wengine tusiowajua?
Sina hakika kama una ufahamu wowote wa unachokiandika. Kwa mfano: poronium ni kitu gani?Tofautisha Kabila era, na wakati huu...hata poronium ya aina Mwaky haitumiki tena!
For wat?Ulinzi uongezwe kwa Rais
Watu wamepigika huku mtaani wewe acha kabisa ! Ukiwa na capital unajiuliza mara mbili mara tatu nifanye biashara gani ambayo inaweza kunitengenezea faida,huoni kitu unabaki hoiAmevuruga sana uchumi na maisha ya watanzania kwa muda mchache sana.
Nami nikuulize kwa upande mwengine, je kwa huo ulinzi mkubwa alionao kuna lipi la maana ambalo katufanyia TZ? Huo ulinzi ungekua wa maana sana kama ana manufaa (ambayo binafsi sijayaona mpaka sasa), lakini hautakua na maana kwetu kama mtu anajitafutia maadui kwa makusudi yake binafsi tu.Kama Mambo ndani yako hivi Tena kwa watu wa karibu...kwa hawa tu tunaowajua..itakuwa vipi kwa Wale wengine tusiowajua?