Search results

  1. Shangani

    Vinara wote wa Uchaguzi Mkuu wa 2015 wametutoka

    Rais Magufuli 2021, March 17 Bernard Membe 2023 May 12 Edward Lowassa 2024 Feb 10
  2. Shangani

    Naomba kujuzwa kuhusu Majenereta kutumia Gas ya kupikia

    Tanesco leo wametangaza rasmi kuwa kutakuwa na "upungufu" wa umeme nchini mpaka mwakani. Nimeona video YouTube huko nchini Nigeria watu wanatumia Gas ya kupikia nyumbani kama fuel kwa ajili ya Generator. Naomba kuuliza wajuzi wa umeme na gas je hapa Tanzania utalamu huo upo wa Kutumia LPG kama...
  3. Shangani

    Tume ya Mahakama wekeni majina hadharani

    Toeni majina ya waliofaulu interview na kupata ajira mbona kwenye waliofaulu na kuitwa kazini mnakuwa wazito kuwaweka wazi.
  4. Shangani

    Namba za help desk Sekretarieti ya Ajira hazifanyi kazi

    Namba za Help Desk +255735398259/+255784398259 Malalamiko ++255736005511/ 255679398259 Ijulikane kuwa hizi namba hazipo au kama mtu ana malalamiko afike hapo Dodoma kuliko kuweka namba ambazo hazipo na hazifanyi kazi.
  5. Shangani

    Wauza na Wanunuzi wa Viwanja, Nyumba, na Mashamba

    Unakiwanja, shamba au nyumba utapost kwenye uzi huu. Ili iwe rahisi kwa ajili ya wanunuzi na wauzaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Shangani

    Xiaomi Redmi 8 Mpya Inauzwa

    Spec 3GB of Ram Internal Memory GB 32 Battery: 5000mAh Bei 450,000 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Shangani

    Tusome Sheria na Sera za Madini, Gesi Asilia na Mafuta Tutoe Maoni

    Napenda kutoa wito kwa watanzani wote. Tuisaidie serikali na wabunge wetu kwenda kutengeneza sheria bora za madini, gesi asilia na mafuta kwa kutoa maoni yetu. Tutaweza kutoa maoni yetu vizuri kama tutasoma sheria na sera zetu za sasa za madini na gesi asilia na kuona mapungufu yake. Kazi hii...
  8. Shangani

    Wazo kwa wakuu wa mikoa: Maeneo ya kuzikia yawe yanapimwa vizuri

    Ni wakati sasa umefika wa maeneo ya kuzikia yawe yanapimwa vizuri ili kuondoa watu kuzika bila mpangilio mzuri. Makaburi mengi haya pangwi vizuri kabisa. Napendekeza sehemu iliyotengwa kwa ajili ya kuzika zipimwe na watu wazike kwa kufuata ramani ambayo itakuwa inakaa kwa Mwenyekiti wa mtaa...
Back
Top Bottom