Tume ya Mahakama wekeni majina hadharani

Watawekaje hadharani wakati Kuna watu wao ambao hata hawakuitwa kwenye interview iliyoanza trh 15 wakaja kuitwa kinyemela baada ya hao wengine kumaliza interview, we hujiulizi hata yale majina ya waliofanya usaili wa mwisho yaliondolewa mtandaoni
 
Mbn kitambo yametoka ingia kwenye web yao upate maelekezo
 
Watawekaje hadharani wakati Kuna watu wao ambao hata hawakuitwa kwenye interview iliyoanza trh 15 wakaja kuitwa kinyemela baada ya hao wengine kumaliza interview, we hujiulizi hata yale majina ya waliofanya usaili wa mwisho yaliondolewa mtandaoni
Hii nchi kama humjui mtu bora utafute ustarabu mwengine
 
This is not fair kwenye huu mchakato waombaji hutumia rasilimali nyingi sana kuanzia kufanya application and attending interviews both written and oral mwisho wa siku HAKI haitendeki... Ama kweli HAKI MBINGUNI....
 
Back
Top Bottom