Naomba kujuzwa kuhusu Majenereta kutumia Gas ya kupikia

Shangani

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
730
1,010
Tanesco leo wametangaza rasmi kuwa kutakuwa na "upungufu" wa umeme nchini mpaka mwakani. Nimeona video YouTube huko nchini Nigeria watu wanatumia Gas ya kupikia nyumbani kama fuel kwa ajili ya Generator.

Naomba kuuliza wajuzi wa umeme na gas je hapa Tanzania utalamu huo upo wa Kutumia LPG kama mbadala wa petroli kwenye jenereta.
 
CNG unaweza ukatumia kwenye generator ila inabidi ubadili mfumo.

Hiyo ya LPG ni mpya?
LPG is used as a fuel gas in heating appliances, cooking equipment, and vehicles. It is increasingly used as an aerosol propellant[1] and a refrigerant,[2] replacing chlorofluorocarbons in an effort to reduce damage to the ozone layer. When specifically used as a vehicle fuel, it is often referred to as autogas or even just as gas.
 
Tanesco leo wametangaza rasmi kuwa kutakuwa na "upungufu" wa umeme nchini mpaka mwakani. Nimeona video YouTube huko nchini Nigeria watu wanatumia Gas ya kupikia nyumbani kama fuel kwa ajili ya Generator.

Naomba kuuliza wajuzi wa umeme na gas je hapa Tanzania utalamu huo upo wa Kutumia LPG kama mbadala wa petroli kwenye jenereta.
Inawezekana Mkuu.

Kama generator lako ni la kutumia petrol basi utahitaji kifaa kinaitwa "Gas conversion kit" mtaalam atakufungia kwenye generator lako.

Kwa taarifa za watumiaji kutoka Nigeria(wamekumbwa na kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kikubwa) wengi wamebadilisha magenerator yao kuwa yakutumia hiyo LPG(gas ya kupikia) na wanasema ni bei rahisi kutumia lpg kuliko mafuta kwa sasa.

NB: kifaa hicho kitakufanya uweze kutumia LPG, CNG au Biogas.
 
Ipi ni efficient kati ya LPG na CNG.
 
Kwa Dar es Salaam tunaweza kupata wapi hicho kifaa na huduma hiyo?
 
Back
Top Bottom