Wazo kwa wakuu wa mikoa: Maeneo ya kuzikia yawe yanapimwa vizuri

Shangani

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
756
1,061
Ni wakati sasa umefika wa maeneo ya kuzikia yawe yanapimwa vizuri ili kuondoa watu kuzika bila mpangilio mzuri.

Makaburi mengi haya pangwi vizuri kabisa. Napendekeza sehemu iliyotengwa kwa ajili ya kuzika zipimwe na watu wazike kwa kufuata ramani ambayo itakuwa inakaa kwa Mwenyekiti wa mtaa ambapo makaburi yapo.

Hii itasaidia sana eneo la makaburi kutokuwa sehemu ya kuogopesha, na kutojaa mapema.
 
Back
Top Bottom