Search results

  1. E

    Malezi ya mtoto kama wanandoa wamegombana

    Sio lazima itategemeana kama itathibitika mtoto hataweza kupata malezi bora jukumu hilo anaweza kupewa baba.
  2. E

    Kwa wanasheria na wenye ufahamu kuhusu hili jambo

    hawako sahihi hata kidogo. sheria yetu ya mikataba iko wazi inaeleza kwamba mdai afidie deni lake kwanza kwa mdaiwa ikiwa ni pamoja na kuuza dhamana za huo mkopo. endapo dhamana haitadischarge huo mkopo ndipo guarantor atawajibika. benk hawako sahihi kukuwajibidha ww kwanza. na cjui km mmewah...
  3. E

    Nsaidieni jinsi ya kumwacha huyu

    sheria ya ndoa mwaka 1971 na marekebisho yake 2002 inatambua km kuna ndoa dhania yaan pressumption of marriage endapo mmeishi km mke na mume ndani kwa mda wa miaka miwili. mda wa mwaka 1 mlioish pamoja hautoshi kutumia sheria hii. pia endapo akijiua ikiwa ww utamwacha kwa opinion yangu sioni km...
  4. E

    Nifanyaje ili niweze kuunganisha simu ya A akipigiwa nami nijue

    ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria ya mawasiliano yaani the electronic and postal communication act, 2010
  5. E

    Yutong Vs scania Vs ud

    scania ziko vizuri zaidi na speed ni kubwa. mf. leina tours bus ni hatari inaenda kahama yutong haifuati hii basi wanaiogopa. pia kuna bus inaitwa city boy nayo inaenda kahama ni hatari. mm nilisafiri na new force ni u tong mpya hawa jamaa wawil hapo juu waliitesa sana hii yutong. soscania...
  6. E

    Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

    Niwewahi kudate na mwanamke wa anayecheka wakati wa sex. Labda mtoa mada angefafanua anacheka wakati gani. Mimi huyo gal alikua anacheka ukumfikisha( akifika kileleni) na si vinginevyo. kikipata hicho kicheko ufanye kazi si lelemama.
  7. E

    Nimelipwa hundi hewa.

    Ndio unaweza kuwashtaki. Ni kosa la jinai kutoa cheki ilihali ukijua account yako haina pesa(insufficient fund) Soma sheria ya makosa ya jinai sura ya 16 ujue nini cha kufanya kabla ya kwenda polisi if not mistaken unatakiwa uwajulishe walichofanya ni kosa so wakulipe ndani ya siku kumi na nne...
  8. E

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    it was slip of mind not tounge. hata usomaji wake ulionyesha mh ni mgeni wa kiingereza. ila mh anapiga mzigo namkubali sana
  9. E

    Ripoti ya Kifo cha Mwangosi

    Wadau tuipitie ripoti yote kuhusu kifo cha Daudi mwangosi iliyowasilishwa hapo jana na timu maalumu ya uchunguzi kwa Baraza la Habari Tanzana na kisha tuilinganishe na ripoti ya kamati ya Nchimbi. wana JF mwenye ripoti kamili ya Kamati ya Nchimbi anaombwa aiwakilishe tuijadili.
  10. E

    Marcus: Malawi wakishinda umiliki wa ziwa nyasa, Tukuyu, Kyela na Ileje kuwa upande wa Malawi

    Wanyasa wanapatikana pande zote mbili yaani Malawi kwa upande mmoja na Tanzania kwa upande wa wapili. Marcus kutoka asasi za kiraia akizungumza ndani ya kipindi cha tuongee asububi star Tv amesema hayo. Enzi za utawal wa Hayati Kamuzu Banda aliwahi kudai mkoa wa mbeya ni wake kabla ya...
  11. E

    SHERIA INA SEMAJE KUHUSU hili..

    hiyo inawezekana kabisa just uwe muwazi kwa mwajiri wako wa awali
  12. E

    Mwakyembe: Mbunge unakwenda kwenye mkutano nje umevaa suti na raba kwanini usidharaulike?

    Mkuu umenichekesha hasa hapo uliposema suti za 'kuhongwa' hii si imewahi kumkuta mkuu wa kaya iliibuliwa na week leak?
  13. E

    Waziri Masele asema hakuna kanuni zilizotungwa kuendesha sheria mpya ya kusitisha fao la kujitoa.

    Jana trh 02/08/2012 SSRA walitoa tangazo kupitia gazeti la Daily news na website yao wakiuarifu umma kwamba fao la kujitoa limesitishwa kufuatia sheria iliyosainiwa na Rais mwezi June 2012. Kwa uelewa wangu nina mawazo kwamba tangazo hilo ni batili kwani mpaka sasa kwa utafiti niliyoufanya...
  14. E

    Taarifa kwa umma kuhusu kusitishwa kwa fao la kujitoa

    Sheria hii haitawalenga wabunge hata kidogo wao wajiexclude ndio sababu waliifumbia macho
  15. E

    Taarifa kwa umma kuhusu kusitishwa kwa fao la kujitoa

    Je hii ni sawa? yeyote mwenye hiyo sheria iliyotumika kusetisha fao la kujitoa airushe hapa JF pliz TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA FAO LA KUJITOA Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), inapenda kutoa ufafanuzi juu ya mafao ya kujitoa. Ufanunuzi huu...
  16. E

    Spares za John Deere 3050

    ukiweka picha tutakusaidia. kampuni nako fanya kazi tuna product hiyo gators 2 za JD
  17. E

    Star Times inaboa

    inaboa mno. chanel zenyewe za kifaransa tu hata hazieleweki.
  18. E

    Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

    Mkubwa ni wazi kabisa una chuki binafsi na G.G na hii topic haikupaswa kuletwa hapa ungemtumia mwenyewe huo ushauri ingependeza zaidi
  19. E

    UEFA Champions League Quarter Final Draw RESULTS

    Mtoto hatumwi dukani siku hiyo. man atambwaga chelsea
Back
Top Bottom