Search results

  1. mwanawao

    Zamani title ya Profesa (PhD) ilikuwa inaheshimika sana

    kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's. Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba! Nimegundua kuwa...
  2. mwanawao

    Utendaji VS Elimu

    Katika dunia ya leo elimu ni muhimu sana katika utendaji wa kazi mbalimbali. Lakini siyo kila mwenye elimu anao uwezo wa kutenda kama wengi wanavyowez kutarajia. Ni mara nyingi sana unaweza kukutana na mtu ana degree lakini utendaji wake wa kazi unapitwa hata na mtu mwenye certificate. Vivyo...
  3. mwanawao

    Mh. Rais utakuwa shujaa wa ajabu kwa Watanzania ukitufanyia na hili...

    Kati ya mzigo Watanzania wanaobeba miaka nenda rudi ni kitu kinachoitwa Mwenge. Tokea napata ufahamu wangu wa jema na baya sijawahi kuona umuhimu wa kuteketeza kodi za Watanzania bila huruma kwenye hili jambo la mwenge. Ni mabilioni ya shilingi huwa yanateketea kila mwaka bila sababu za msingi...
  4. mwanawao

    Wategemea Uchawi, viungo vya Albino, utapigwa tu mwaka huu.

    Ninasema Mungu mwaka huu ametusikia maombi yetu. Wachawi, na wapiga ramli i.e waganga hawataliongoza tena Taifa la Tanzania. Wanaotegemea kutumia viungo vya wapendwa wetu albino ili kwamba washinde uongozi mwaka huu wote wataangukia pua. Warudi na wakawaombe msamaha ndugu zetu hawa kwa lolote...
  5. mwanawao

    Hawa jamaa ni Mabilionea nchi nzima

    Watu wengi wanahaingaika kuinua uchumi wao ili waweze kufikia level kubwa ya kimaisha na hata kuwa na utajiri na umaarufu wa kuitwa mabilionea. Katika chimbua chimbua yangu nimegundua kuwa duniani hakuna nchi ambayo ina mabilionea wengi kama Zimbabwe kwa kamanda wa Africa mzee asiyeyumbishwa...
  6. mwanawao

    Hiki ndicho chama pinzani shujaa

    Lengo la vyama pinzani siku zote ni kukosoa na kusimamia ipasavyo serikali inayoundwa na chama tawala na kwa Tanzania ikiwa ni CCM. Iwapo chama pinzani kitatumia nguvu nyingi sana kubomoa vyama vingine vinavyopambana kumuondoa adui mmoja CCM hiki hakiwezi kuwa chama pinzani ila kitakuwa chama...
  7. mwanawao

    Wewe mzuri? Jifunze kuheshimu wengine

    Binadamu tumekuwa na tabia za kibinafsi sana siku hizi za kudharau wengine. Huwa ninasikitishwa sana na comments za watu pale wanapowadharau wenzao haswa kuhusu suala la maumbile yao.Unakuta mtu anaanza kumkejeli binti ni 'Mbaya' sura kama 'Ndimu'? Hivi unafikiri yeye ndo alijiumba mwenyewe...
  8. mwanawao

    Hongereni CCM, mmefanikiwa, hahaaa

    Napenda kuwapongeza CCM na Manazi wake wote kuwa wamefanikiwa kumaliza tayari siasa za upinzani. Hahaaaaa.... Pale mpinzani wako anapokuambia kama hutaki kunichagua mimi mchague yule ha.ha.haaa. Usipoichagua CCM chagua ACT. haaa.haaaa... Mna akili lakini Watanzania wana akili sana kuliko...
  9. mwanawao

    Mkuu wa Mkoa atakiwa kupeperusha bendera ya CCM

    Kinyang'anyiro cha nani atakayepeperusha bendera ya CCM kimeendelea kushika kasi baada ya kunyaka tetesi za Mkuu wa Mkoa katika serikali ya Mkulu kupokea ujumbe wa kutakiwa kujiandaa kupeperusha bendera ya CCM mwaka huu wa Uchaguzi. Inasemekana Mkuu huyo wa Mkoa baada ya kupokea ujumbe huo...
  10. mwanawao

    Uchaguzi serikali za mitaa: MSAADA / USHAURI TAFADHALI

    Wadau siku si nyingi uchaguzi wa serikali za mitaa utafanyika. Na leo mchakato wa kujiandikisha umeanza. Sasa kama miaka miwili iliyopita niliibiwa vitu vyangu. Pamoja na vilivyoibiwa ni kitambulisho changu cha KURA. Naomba msaada au ushauri nitafanyaje niweze kupiga kura? Kuikosa haki yangu...
  11. mwanawao

    Mwanaume anapokuwa mmbea na tabia za kike...

    Hv wanaume wanapokuwa na tabia za kimbea fulani kafanya hv m, mama j alipigwa jana, unajua baba G alifumaniwa jana n.k n.k. Hv huyu boyfriend au mumeo unaweza sema upo na mwanaume ndani kweli! Jamani wanaume tabia za kimbea waachiwe wanawake bana khaaaaa....
  12. mwanawao

    Hatimaye Rais 2015 kajulikana tayari!!

    Kuelekea 2015 wengi wametajwa kuwania nafasi ya Urais na wengine wamepewa nafasi kubwa ya kushinda. Lakini penda usipende huyu ndie ambaye tayari ameandaliwa. Si mwingine ni Dr Rose Migiro. Hzi ni nyepesi nyepesi nilizozidaka chini ya kapeti ni kwamba ameambiwa asijihusishe na kundi lolote...
  13. mwanawao

    Sheikh Abubakar Sharif Makaburi apigwa risasi na kufa huko Mombasa

    Kiongoz wa Waislam wa mrengo wa siasa kali anayeitwa Abubakari Sharif 'maarufu kama MAKABURI ameuliwa kwa kupigwa risasi nchini Kenya. Mpaka sasa hivi haijafahamika nani aliyempiga risasi na kusudio la kufanya hivyo ni kwa matakwa gani.
  14. mwanawao

    Wajumbe 7 mbumbumbu wa bunge la katiba

    Watanzania walio wengi tulitegemea wajumbe walioko katika bunge la katiba ni watu makini na wenye uwezo mkubwa wa kuchambua mambo. Katika hali isiyo ya kawaida jana wakati wa kupiga kura ya kumchagua mwenyeketi kura saba ziliharibika. Huwezi kutegemea watu ambao wanategemewa kuja na katiba...
  15. mwanawao

    Inapotokea Chama Pinzani kupambana na Chama Pinzani badala ya CHAMA TAWALA

    Katika ulingo wa siasa, katika nchi mbalimbali Vyama vya siasa haswa vile vya upinzani huwa vinakuwa na lengo moja la kumuondoa yule anayeshikilia serikali. Hata kama hawajaungana lakini nia yao huwa inakuwa ni moja. Chama tawala mara zote kama chama kinachoshikilia serikali huwa kinafanya...
  16. mwanawao

    Nashauri Katiba ikiletwa kwa wananchi itumike kura ya wazi!!!

    Kama kwenye bunge la katiba wajumbe wamekuwa wakinga'ang'ania kura ya wazi watakapokuwa wakipitisha vifungu mbalimbali nashauri pia kuwa katiba itakapoletwa kwa wananchi tufanye kura ya wazi. Hii itasaidia kuondoa uchakuachuaji wowote ambao wanaweza kuufanya CCM. Kura zitapigwa kwa uwazi na...
  17. mwanawao

    MSAADA TAFADHALI: Aliyewahi kutumia huduma ya PESAPAL

    Wandugu, nawasalimu, Naombeni msaada tafadhali kwa mtu aliyewahi kutumia huduma ya PESAPAL, kama kuna security ya kutosha au naweza kuibiwa hela yangu. Kuna hela natakiwa kutumiwa kutoka nje na anayetuma amesema anashindwa kutuma kwa T.T kwa sababu anakatwa hela nyingi sana, so anataka kutumia...
  18. mwanawao

    Kwa nini Katibu wa Wizara hawajawajibishwa?

    Wadau ninavyojua Katibu wa Wizara mbalilmbali ndo watendaji wakuu wa wizara. Policy yoyote inayokuwepo kwenye wizara wao ndo watendaji wa wakuu wa kuisimamia. Kama Operation tokomeza imefanyika chini ya wizara zao na kuwang'oa mawaziri wa hizo wizara, Nashauri na hao makatibu wa hizo wizara...
  19. mwanawao

    Kama kweli WAISLAM wanachukizwa WAANDAMANE KUPINGA!!

    Dunia ya leo imekumbwa na wimbi kubwa la UTISHO wa UGAIDI. Nchi nyingi sana sasa hvi zimeingia kwenye mauji makubwa ya raia wasio na hatia kwa kupitia mgongo wa MAGAIDI. Yamekuwepo makundi mbalimbali ya Ugaidi yanayotishia usalama wa Raia kama Al qaeda, Al Shabab, Boko haram,n.k, wengi wa haya...
  20. mwanawao

    MAAJABU: Baba na Mtoto Waishi msituni kwa miaka 40 kwa kukimbia Vita..

    Katika hali ya kushangaza baba mmoja Vietnam ameishi msituni kwa miaka 40 baada ya familia yake kuliwa na mabomu kwa sababu ya vita. Baba huyo aliyemchukua mtoto wake akiwa na UMRI WA MWAKA-1 alikimbilia msituni na kuanzisha makazi na mtoto wake wa mwaka mmoja, kwa kuezeka kanyumba juu ya mti...
Back
Top Bottom