Kwa nini Katibu wa Wizara hawajawajibishwa?

mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
3,140
5,629
Wadau ninavyojua Katibu wa Wizara mbalilmbali ndo watendaji wakuu wa wizara. Policy yoyote inayokuwepo kwenye wizara wao ndo watendaji wa wakuu wa kuisimamia.

Kama Operation tokomeza imefanyika chini ya wizara zao na kuwang'oa mawaziri wa hizo wizara, Nashauri na hao makatibu wa hizo wizara wawajibishwe kwa kushindwa kusimamia majukumu yao ipasavyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom