Search results

  1. Nicklaus

    VPN yenye server Tanzania

    Kwa yoyote anayejua VPN zenye server Tanzania anisaidie, nahitaji IP address ya TZ. Au mwenye ujuzi tofauti itakuwa poa zaidi. Asante
  2. Nicklaus

    SELFORM MIS 2023: Namna gani naweza login/Register kwa mliofanikiwa

    Kwa maelekezo zaid, bonyeza hiyo sehemu iliyoandikwa Manual, kisa soma na kufuata malekezo yaliyoanishwa
  3. Nicklaus

    Selform - 2023/2024

    Habari Kama kuna aliyefanikiwa kujaza hizi form (self form) za kidato cha nne kwaajili ya uchaguzi wa kidato cha tano, kupitia tamisemi (selform.tamisemi.go.tz), naomba anipe muongozo au mwenye taarifa yoyote, mana nimejaribu mara nying bila mafanikio. Nawasilisha.
  4. Nicklaus

    Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

    Sasa agombee nani? January au Mwigulu? Hakika CCM n sikio la kufa.
  5. Nicklaus

    Msaada Wa Ushauri: Supervisor wangu ni kilaza

    Siku zote kuwa makini unapo deal na jinsia tofauti na yako uwapo kazini, Kamwe usikubali kutoheshimiwa
  6. Nicklaus

    Kuna chuo kinachopokea mwanafunzi wa form 4 mwenye D 3?

    Sio kwa level ya certificate, muongozo utakutaka uwe na D nne, utasomo vyuo vya uchololoni, watakao kuibia ada, ila cheti kutoka NACTVET huwez pata.
  7. Nicklaus

    Kipindi unasoma ulikuwa unalipenda na kulichukia somo gani?

    Hesabu na Physics, Hesabu ilinipenda na Physics niliipenda. History ilikakaa kushoto, kukakiriri miaka ilikuwa hainiingii akilini.
  8. Nicklaus

    Tanzania tunazidi kurudi nyuma kwenye Teknolojia

    Wakati dunia ikiienda kasi kwenye technology hasa mifumo ya kifedha, inayorahisisha malipo, hali imekuwa tofauti kwenye baadhi ya taasisi za fedha nchini. CRDB hasa kwenye mfumo wao Internet banking, umekuwa na shida za mara kwa mara unaolalamikiwa na wateja lakini hakuna linalofanyika...
  9. Nicklaus

    Nifanyeje ili niache huu uraibu wa kucheza na watoto maana jamii inanichukulia tofauti

    Linawezekane likaonekana jambo jema kwako na kwa baadhi ya watu, ila likawa baya machoni pa wengi, dunia hii sio ile ya zamani, watoto walikuwa wanalelewa na mtaa mzima au kijiji. Watu wamekuwa mafisi kwa watoto kwa namna mbalimbali, inaweza isiwe ww ila mwingine. Kuepusha majanga kaa mbali na...
  10. Nicklaus

    Ni wife material kweli kweli lakini kuna tatizo hili hapa

    Vigezo vya wife material vimebadilika tena? Mnatupa pressure ambao hatujaoa NB: kwa vigezo vilivyopitishwa na kamati kuu, huyo sio wife material.
  11. Nicklaus

    Niuze magari kumfurahisha mpenzi?

    Kwahyo unabishana na mapenzi? Tatizo Vijana wabishi sana
  12. Nicklaus

    Utata wa riba katika mikopo inayotolewa na Mabenki

    Aiseee, kweli kuwa uyaone. N.B: hizi mada zimezungumziwa sana humu, zitafute upate mwanga
  13. Nicklaus

    Sababu za Papa Fransis Kubariki Ndoa za Jinsia Moja

    Siku zake zinahesabika, hakika Mungu ni mkubwa
  14. Nicklaus

    Ujumbe wa Manara Kwa jipu la Tanesko

    Nan mwenye dawa ya hili shirika?
  15. Nicklaus

    Kujichora tattoo imekuwa chanzo cha kuachwa dada yangu, ni kama ana bahati mbaya

    Malaya wengi siku hizi wanachora tattoo, na baadhi ambao sio malaya nao wanachora pia, ni vigumu kuwatofautisha mana huyo mwanamke haujaishi nae. Ili kujilinda inabid wote uwaweke kundi moja la malaya, Dada akae kwakutulia sio ushamba ila watu wanaokoa nafsi zao
  16. Nicklaus

    Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Aiseee, kweli suala la ndoa linaendelea kuwa kitendawili kwa vijana. Haya mambo yanatokea kweli ndani ya ndoa au tunatishana? Anyway, kwa nilichojifunza kwenye kukua kwangu, hapo hauna mke, bali n kikundi cha kigaidi cha mtu mmoja, kitakochokulipua mda wowote.
  17. Nicklaus

    Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

    Sasa kama hauna cha kuongea au kuchangia, yeye afanyaje, huyo kashakupima, kaona hauna la maana unaweza ongea. Jitafakari, mpe sababu ya kukusikiliza, la sivyo, ni mijegeje tu.
Back
Top Bottom