Search results

  1. B

    Kuitwa kwenye usaili TFDA

    Wandugu mlio omba TFDA mambo yamekwiva, mchuano mkali zaidi kwa wale mlioomba nafasi ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER wameshortlist watu 1257 sikumbuki zilikua post ngap naomba wanamahesabu mtufanyie probability ya kila mtu kupata ikoje! Kila lakheri nawatakieni interview njema!
  2. B

    Shamba/Kiwanja Dodoma!

    Kuna mashamba yanauzwa Dodoma eneo linaitwa NTYUKA km 5 toka Dodoma mjini upande wa Kusini-Mashariki mwa Dodoma barabara ya kuelekea MVUMI mission. Kata ya Ntyuka imepakana na Chuo kikuu cha Dodoma upande wa mashariki ni karibu na Hospitali moja mashuhuri sana hapa Dodoma inaitwa DCMC. Kuliona...
  3. B

    Msaada wa Kisheria nataka Kuishitaki HESLB!!!

    Habari wana Jf! Naombeni msaada wa kisheria nimekua nikikwata Mshahara wangu na Bodi ya Mikopo yaan HESLB hali sina mkataba wowote na wao,yaani elimu yangu hata hainauhusiano na Bodi hiyo,Ngazi yangu ya elimu ni Certificate tu,lakini cha ajabu hao HESLB wamekua wakinikita pesa yangu...
  4. B

    Kuwashwa uume baada ya tendo

    Wadau wapendwa wana Jf, Naombeni msaada wa tatizo langu;ni miezi 5 sasa toka nifunge ndoa.Mwez huu mwanzoni limetokea tatizo ambalo nashindwa kulielewa hasa chanzo chake nini.Nimekua kila ninapomaliza kufanya tendo la ndoa uume huwasha na baada ya mda huvimba na kutoa usaha kwenye ngozi ya uume...
  5. B

    Ushauri Registration vyuo vikuu zifanyike viwanja vya michezo!!Soma hii!!

    Mtu mmoja amekufa baada ya mkanyagano kutokea miongoni mwa umati wa watu waliokuwa wakitaka kujiandikisha katika chuo kikuu mjini Johannesburg, Afrika Kusini. source: BBC Swahili - Habari - Mkanyagano waua mmoja Afrika Kusini
  6. B

    Ni kweli HESLB hawatoi mkopo kwa Equivalent applicants?

    Wadau naombeni kuuliza kama kuna mtu yeyote aliyeomba bodi kupitia equivalent na jina lake limetolewa kua amepata au amekosa make mwenzenu jina langu halionekani kotekote. Sijui kama ntapata au ndo nimeshakosa.Cha ajabu zaidi hadi chuo nilichoomba hawajatoa majina had sasa,matumaini na ndoto...
  7. B

    Steps kuelekea ndoa

    Wadau naombeni mnijuze steps zinazofaa unapoanza Mahusiano na mtu ambaye mmekutana katoka mikoa Tofauti,yaani mfano mmoja anatokea Mwanza na Wewe kwenu ni Arusha halafu mmekutana Dar Mkapendana!.Mnaanza upande gani kutambulishana? Pia ningependa ufafanuzi kidogo juu ya POSA,posa ni nini? Ni vitu...
  8. B

    Hodi!! Hodi!!! wana JF!!

    Wana Jamii Forum hodii hodiii,nilikua bado sijafahamu kwamba kuna chombo cha ajabu kama hiki ambacho mtu ana uhuru wa kutoa maoni na kubadilishana mawazo!. Nashukuruni sana wadau kwa kubuni na kuendesha chombo hiki, Mungu awabariki sana!.
  9. B

    Elections 2010 Ccm yasimamisha mgombea ubunge wa darasa la 6c jimbo la mhambwe!

    Wadau wa JF,Poleni na majukumuu ya kuleta mapinduzi ya kifikra katika jamii. Nimeona nami niwashilikishe hili japa bado mi mchanga katika siasa lakin kuna jambo nikifikiria linaniuma na ningependa mnijulishe kwa ufupi- Je,ni halali kwa mtu ambaye hana hata Certificate ya Primary kuingia Bungeni...
Back
Top Bottom