Msaada wa Kisheria nataka Kuishitaki HESLB!!!

Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
71
Habari wana Jf!
Naombeni msaada wa kisheria nimekua nikikwata Mshahara wangu na Bodi ya Mikopo yaan HESLB hali sina mkataba wowote na wao,yaani elimu yangu hata hainauhusiano na Bodi hiyo,Ngazi yangu ya elimu ni Certificate tu,lakini cha ajabu hao HESLB wamekua wakinikita pesa yangu.
Nimefuatilia hadi kwa Mkurugenzi wa bodi alichofanya ni kusitisha makato tu lakini hawataki kurudisha pesa ambayo wanakiri waliikata kimakosa.
Nina Document zote zinazohusiana na malalamiko haya.Kama kuna mtu wa kunipa support kisheria nifanye ili nirudishiwe pesa zangu anisaidie nifanyeje kisheria.Nimeandika barua hadi nimechoka na sasa takribani miezi 10 imepita bila response yoyote.
Ntashukuru sana.
 
Kawafungulie hao HESLB kesi ya madai,ukishinda kesi na bado hataki kukulipa haki yako,sajili gari la mkurugenzi wao ili likamatwe na kupigwa mnada , hapo fedha zako utapewa maana mkurugenzi hatakubali gari lake likamatwe.
 
Mwe!Mwana gwa walondo pole!Nenda ukafungue kesi ya madai ili HELSB wakamatwe & kukulipa.Pia muone wakili utapata.Naombea
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom