Mtu mmoja amekufa baada ya mkanyagano kutokea miongoni mwa umati wa watu waliokuwa wakitaka kujiandikisha katika chuo kikuu mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
source: BBC Swahili - Habari - Mkanyagano waua mmoja Afrika Kusini
source: BBC Swahili - Habari - Mkanyagano waua mmoja Afrika Kusini