Search results

  1. SOKETI

    Happy new year/heri ya mwaka mpya 2020

    Habari, Nawatakia wana JF wote heri na mafanikio katika kila jambo mwaka huu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. SOKETI

    Msaada: Nahitaji Fx Coach.

    Habari, Nahitaji Mtu mwenye uzoefu wa biashara ya fedha katika mtandao(IQ & Mt4), nipo tayari ya kuchangia gharama. Asante
  3. SOKETI

    Shamba la kukodisha

    Habari wana Jf, Nahitaji msaada kwa yeyote anayefahamu eneo lenye mashamba ya kukodisha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji mikoa ya Arusha na Manyara. Lengo likiwa ni kufanya kilimo cha mazao ya mda mfupi pamoja na mbogamboga. Natanguliza shukrani Kwa mawasiliano: 0625644268
  4. SOKETI

    Wanunuzi, wauzaji na watumiaji wa asali

    Habari wana jf, Kwa wenye kuhitaji asali ya nyuki wakubwa na wadogo kwa bei ya jumla aliyepo mikoa ya ARUSHA na MOSHI, na MANYARA tutafutane kwa namba 0629862390.
  5. SOKETI

    Asali ya nyuki wakubwa

    Habari wana jf, Kwa wenye kuhitaji asali ya nyuki wakubwa na wadogo kwa bei ya jumla aliyepo mikoa ya ARUSHA na MOSHI, na MANYARA tutafutane kwa namba 0629862390.
  6. SOKETI

    Asali mbichi inapatikana

    Habari wana JF, Kwa mtu yeyote anayehitaji asali, kwa ujazo wowote anitafute kwa namba hii 0718473232. Asante.
  7. SOKETI

    Nauza Asali, tuwasiliane

    Habari wana JF,Kwa mtu yeyote anayehitaji asali anitafute kwa namba hii 0718473232.Asante.
  8. SOKETI

    Usaili- NAO tarehe 20/07/2015

    Habari Jf, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwaniaba ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (NAO) wametangaza majina ya wanaohitajika katika usahili utakao fanyika tarehe 20/07/2015. Bofya hapa kuona majina: Document Details | Kuitwa kwenye Usaili (20-07-2015)
  9. SOKETI

    Kiwanja kinauzwa - Arusha

    habari, kuna ploti inauzwa tengeru- Arusha, kilometa 10 toka Arisha mjini. Ukubwa hatua 30 kwa 17. bei milioni kumi na nane,(18million) Huduma za maji, umeme, Barabara zinapatikana. kwa mawasiliano piga namba 0713035942.
  10. SOKETI

    Kiwanja kinauzwa Arusha

    Habari, Kuna ploti inauzwa tengeru- Arusha, kilometa 10 toka Arisha mjini. Ukubwa hatua 30 kwa 17. bei milioni kumi na nane,(18million) Huduma za maji, umeme, Barabara zinapatikana. Kwa mawasiliano piga namba 0713035942.
  11. SOKETI

    Naomba Mwongozo/Ushauri: Njia ya kupata Matokeo bora katika kutotolesha vifaranga kwa Mashine

    Habari, Kwa wale waliowahi kutumia mashine za kutotolesha vifaranga. Nimejaribu zaidi ya mara tatu kutotolesha vifaranga kwa kutumia mashine lakini matokeo yamekuwa ni asilimia 25 tu ya idadi ya mayai ndio huanguliwa. Naomba kujuzwa: Kwa mtu anayetumia mashine kutotolesha vifaranga anapaswa...
  12. SOKETI

    Naomba ushauri: Biashara ya kusafisha picha

    Habari wana Jf, Katika pita pita zangu za kutafuta biashara ya kufanya nilipita katika duka moja wanalouza bidhaa zilizotumika na kuona printer ndogo yenye uwezo wa kuscan, fax, kuprint picha na karatasi za kawaida. Aina:-Hp All in one 7560. bei 500,000/= Naomba mwenye kujua: Kama biashara hii...
  13. SOKETI

    Mayai ya kienyeji (ARUSHA)

    Habari wana jf, Kwa anaye hitaji mayai ya kuku wa kienyeji tray tano(5) na zaidi Arusha mjini na maeneo ya jirani tuwasiliane kwa namba 0713035942
  14. SOKETI

    Mayai -Arusha

    habari wana jf, Kwa yeyote mwenye mayai ya kuku wa kienyeji, chotara, wa malawi na aina nyingine yenye virutubisho(Fertelised) aliyeko arusha na mikoa jirani tuwasiliane kwa namba 0718473232.
  15. SOKETI

    Rafiki wa kike na mke mwema maishani anatafutwa

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, elimu ya wastani, maji yakunde, mkristo, Natafuta binti mwenye heshima, anayejipenda, anayejua kupika,anayependa usafi, mweusi/ maji ya kunde, asiwe mnene sana, mrefu. Awe tayari kuwa mke na mama watoto wangu siku zijazo Aliye tayari, ani PM
  16. SOKETI

    Natafuta wakunipenda

    Salam, Natafuta binti wa kunipenda katika msimu huu wa wapendanao, VIGEZO, Umri miaka 18 hadi 24, mweusi, asiwe mnene , mrefu, mtanzania, anayejieshimu. Aliye tayari ani PM
  17. SOKETI

    TPDC Call for Interview from 26/11/2013 to 04/12/203

    Habari wana Jf,, Majina ya waliochaguliwa kuhudhuria usahili wa nafasi mbalimbali TPDC. BOFYA LINK IFUATAYO: http://www.tpdc-tz.com/Current_Interview.xls
  18. SOKETI

    Rafiki wa kike (girlfriend )

    mimi ni kijana wa Kitanzania, natafuta binti mwenye kujieshimu ikiwezekana awe MWALIMU. Umri - miaka 20 - 24, Toka: popote pale ulimwenguni, Rangi: Maji ya kunde au Mweusi, Dini: Mkristo Sifa nyingine,Ajue kupika, ajiheshimu, awe msafi, mwenye msimamo na viwango. PM kwa aliye na sifa hizo.
  19. SOKETI

    Ushahidi wa CHADEMA kuhusu milipuko ya mabomu Jijini Arusha

    Viongozi wa juu wa CHADEMA walisema kuwa wana ushahidi kuhusu waliohusika na mlipuko wa bomu katika mkutano wa kuhitimisha kampeni za chama hicho. Ushahidi wao umeishia wapi au ilikuwa ni propaganda za kisiasa?
  20. SOKETI

    Tanzania tunaweza

    Tanzania kila siku kukiwa na ujio kama utakaotokea July Mosi: >tunaweza kutokomeza na kusahau kabisa kuhusu ugonjwa wa malaria, >Kuweka mazingira ya nchi yetu kuwa safi, >Kuboresha ulinzi na usalama katika taifa letu, >Kuongeza uwajibikaji na uadilifu kwa viongozi wetu,
Back
Top Bottom