Msaada: Nahitaji Fx Coach.

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Habari,
Nahitaji Mtu mwenye uzoefu wa biashara ya fedha katika mtandao(IQ & Mt4), nipo tayari ya kuchangia gharama.
Asante
 
Kuna jamaa wanaitwa forexmoney industry kama sikosei,tafuta hao
 
Mkuu ukianza kujihusisha na hizo biashara baada ya miezi 8 usisahau kutupatia mrejesho
 
Forex ni business nzuri sana na sio kama Qnet but lazima ukubali kujitoa kwelikweli lasivyo utakuja ujute kama mimi nilivyojuta kulima matikiti.
Lazima ukubali kusoma kwa video na pdf za kutosha hii biashara haiitaji papara ata kidogo mimi wakati naingia kwa mara ya kwanza nilipoteza USD 10 but nikaamua nijifunze japo sina mafanikio makubwa ila mafanikio yangu makubwa ni kupata USD 45 tu maana bado najifunza . Wengi wanaingia kwa mategemeo ya kupata mafanikio ya haraka ndio maana wengi wanafeli.
 
Ni industry ngumu sana kiukweli kama ni mvivu wa kusoma na kukaa kwenye INTERNET kwa muda mrefu maana lazima uwe unajua updates za news hasa zile za economy coz ndio zinaweza kuathiri currency kwa muda huo.
Feel free 0769683643
 
Back
Top Bottom