Kiwanja kinauzwa Arusha

Kiwanja kinauzwa Arusha

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Habari,
Kuna ploti inauzwa tengeru- Arusha, kilometa 10 toka Arisha mjini. Ukubwa hatua 30 kwa 17. bei milioni kumi na nane,(18million)
Huduma za maji, umeme, Barabara zinapatikana.

Kwa mawasiliano piga namba 0713035942.
 
Arusha mmezoea kuomba pesa nyingi kwa vidogo, nikiwa da kwa pesa hiyo napata viwanja 4.
 
Huo ni uchizi sasa. Yaani hatua 30 kwa 17 kwa sh. milioni 18?

What is so special about that plot? Je kina face barabara kuu ya Moshi - Arusha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom