Search results

  1. kipusy

    Mtoto wangu mchanga anakohoa na mafua

    Mtoto alipona na amekua vizuri, sasa ana miaka 5 kasoro week 3. Asanteni sana.
  2. kipusy

    Biashara ya video production katika Harusi, Kitchen party, Send-off nk

    Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting? Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi? Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge? Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli...
  3. kipusy

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yaah hivihivi yaan. Mi mwenyewe kuna mkenya mmoja kanichonganisha na wadada wa Tz kwa kuongea maneno ya uongo kabisa ili ajipendekeze tu.... nilimpa makavu sio kitoto, na hao mashori wakiTz nikawapa shit waache ushamba kubabaika na wakora wa kiKenya...
  4. kipusy

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    WAKENYA WANGESE SANA. WANATABIA YA UMBEAUMBEA SANA, NIMEONA HII BAADA YA KUKUTANA NA KUISHI NAO NIKIWA MASOMONI CHINA... NDIO MAANA KILA KITU KIZURI WANASEMA CHA KWAO... HAWAJIAMINI KABISA KATIKA MAMBO YAO....
  5. kipusy

    Niko njia panda, ushauri tafadhali

    We jamaa oa tu mkishindwana mtaachana baadae. Ingawa hatari umeshaziona. Kama kweli anajua nia yako kwake na akasafiri kwenda moshi kimyakimya, pia akapotea hewani siku 5.... Unauvumilivu wa kiwango cha SGR ya Magufuli.... Unataka watu wakushauri nini hapo sasa. kama wewe bado kijana tafuta...
  6. kipusy

    Musoma: Shule yanusurika kufungwa kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kishirikina

    Huko itakua kwenye vijiji vya Nyamswa au Ikizu, Kuna wachawi sana huko hasa kabila la wazanaki....
  7. kipusy

    Katavi: Mume amchinja mkewe kwa madai ya kumnyima unyumba kwa muda mrefu

    Usimyime Mbunye mume wako tafadhali. Najua hakuna mwanaume ambae anaweza kukataa mbunye labda awe mgonjwa.... Ndoa ni kunyanduana mwanzo mwisho, maana ndio lengo kuu mambo mengine ni nyongeza tu. Wanawake wengi wakianza kugongwa na mchepuko wanatabia ya kuwanyima mnyanduano waume zao..... Hii...
  8. kipusy

    Biashara ya samaki

    Mpigie simu mkuu.
  9. kipusy

    Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Hapa mi sichangii kitu, SIASA za TZ ni kitu cha hovyo sana....
  10. kipusy

    Huyu mwanamke nilimtongoza akanikataa. Alichonifanyia leo ni ishara ya kunipenda au amenichukulia kama rafiki?

    Usimtokee tena, maana ulishamtokea.... inatakiwa umalize kiutuuzima, mle kimasihara... endeleza urafiki wa karibu sana... siku mualike kwako, akija tu anza kutomasa piga mzigo...
  11. kipusy

    Wale waliofukuzwa na wengine kuhamishwa Tambaza Secondary 1993 mko wapi?

    Sana yaan. wanafunzi wa siku hizi maboya sana.
  12. kipusy

    Wale waliofukuzwa na wengine kuhamishwa Tambaza Secondary 1993 mko wapi?

    Hamna lolote, nyie Jiteute mlisaidiwa na JWTZ, MP kibao ndio waliotukimbiza ile siku. Hata sababu ya Tambaza kusambalatishwa ni ugomvi wa Azania na Tambaza, Chanzo kikiwa demu wa Zanaki, sio na Jitegemee.
  13. kipusy

    Wale waliofukuzwa na wengine kuhamishwa Tambaza Secondary 1993 mko wapi?

    Naikumbuka hii Mwana, walipita wadada warembo na wakaka kupoint watu, mie waliniacha. Nilikua nimevimba mkono wa kulia nilipigwa gongo na mwanajeshi katika kukimbizana ile siku kwenye viunga vya uwanja wa uhuru enzi hizo. Ile siku ilikua balaa sana. nilitembea kwa miguu hadi Buguruni...... Ila...
  14. kipusy

    Sijamuelewa Mtukufu juu ya Tausi wa ikulu

    Kwa alichofanya Rais Magufuli kugawa hao ndege Tausi kwa Marais wastaafu, Je inawezekana hao ndege watu wakafuga kama Kuku au Njiwa nyumbani? Au itahitaji kibali maalumu kufuga. Ikitokea hao waliopewa wakiwapa ndugu zao nao wakafuge kutakuwa na shida yoyote?
  15. kipusy

    Wale waliofukuzwa na wengine kuhamishwa Tambaza Secondary 1993 mko wapi?

    Tupo mkuu. Tambaza ilikua kambi ndogo ya Jeshi
  16. kipusy

    Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

    Alishawahi kumcheka BABA yake? Au MAMA yake? tena hadharani vile? Kuna muda lazima tuwe na adabu. yeye mbona alikua anafanya maonyesho ya kuvaa chupi? Watoto wake au wajukuu wake watamcheka pia...
  17. kipusy

    Nimesalitiwa ila nashindwa kumuacha. Je, nimuoe?

    Usiwe RUDE kwake, usimjibu kwa kumuumiza, unakosea sana. Jitahidi kuwa polite kwake.... mpe majibu ya kumkataa kwa hekima sana na kumpa sababu za kumkataa kama kweli unamkataa... sio hivyo...
  18. kipusy

    Wazungu itawauma sana kushindwa fikra na Muafrika

    Inawezekana JPM akawa kapatia sana juu ya hili suala kwa mtazamo wako. Ngoja tusubiri tuone itakuaje, maana watu hawachukui tahadhali yoyote hasa kwenye kuvaa barakoa na kuzingatia sosho distansing... Tujipe muda matokeo tutayaona
Back
Top Bottom